DAR ES SALAAM-Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza ratiba kamili ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24 ambayo itaanza kutimua vumbi Agosti 15,mwaka hu.

Katika ratiba hiyo, Simba SC wataanzia ugenini Agosti 17,2023 kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro.
Mchezo wa watani wa jadi umepangwa kufanyika Novemba 5 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni ambapo Simba SC watakuwa wenyeji.
Mchezo wa watani wa jadi umepangwa kufanyika Novemba 5 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11 jioni ambapo Simba SC watakuwa wenyeji.