DAR ES SALAAM-Kwa mara ya kwanza, Kampuni ya Kizalendo ya TRUMARK Insurance Agency imewaletea Watanzania huduma za bima za aina yake ambazo zinawapa uhakika wa asilimia 100 wa usalama wa mali zao.
Mkurugenzi wa TRUMARK, Bi.Agnes Mgongo akizungumza kuhusu bima kutoka Wakala huyo jijini Dar es Salaam amefafanua kuwa,kila Mtanzania anaweza kufanya chaguo sahihi la huduma ya bima anayohitaji.
Amebainisha kuwa, miongoni mwa bima zinazotolewa ni pamoja na Bima ya Magari, Bima ya Pikipiki,Bima ya Bajaji.
Nyingine ni Bima ya Nyumba na Makazi, Bima Mseto ya Majanga, Bima ya Biashara, Bima ya Mkulima,Bima ya Mazao, Bima ya Dafari na Mizigo na nyinginezo.
Ukiwa na bima kupitia TRUMARK kamwe hauwezi kuwa na wasiwasi kuhusiana na mali zako iwe chombo cha moto unachoendesha, mara zote TRUMARK tunasisitiza kuwa, ukiwa nasi endesha kwa ujasiri.
"Niwakaribishe wote muweze kujipatia bima ya uhakika kupitia TRUMARK Insurance hakika utafurahia uamuzi na chaguo lako kutoka kwetu.Karibu tukuhudumie kwa bima nzuri za uhakika na haraka.Tupigie simu 075095017,"amefafanua.