DODOMA-Jeshi la Polisi nchini limeendelea kusisitiza kuwa,mtu yeyote atakayesalimisha silaha haramu nje ya muda ulioainishwa katika tangazo la msamaha atachukuliwa hatua za kisheria.
Hivyo, ili kuepukana na usumbufu au kukamatwa kila mmoja anapaswa kuzingatia muda wa msamaha uliotolewa.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi makao makuu ya Polisi Dodoma,SACP David A.Misime.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi makao makuu ya Polisi Dodoma,SACP David A.Misime.