DAR ES SALAAM-Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),upepo wa Pwani unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa kwa Pwani yote kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Aidha, hali ya Bahari inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo huku matarajio kwa siku ya Jumapili ya Agosti 28,2023 kutakuwa na mabadiliko kidogo.
Tags
Habari
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
METEO Tanzania
TMA
Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania