NA GODFREY NNKO
LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.49 na kuuzwa kwa shilingi 337.75.
LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.49 na kuuzwa kwa shilingi 337.75.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 11, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.81 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2411.82 na kuuzwa kwa shilingi 2435.94 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7843.07 na kuuzwa kwa shilingi 7918.92.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.00 na kuuzwa kwa shilingi 1817.32 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2757.63 na kuuzwa kwa shilingi 2783.93.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.85.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1583.60 na kuuzwa kwa shilingi 1599.68 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3225.81 na kuuzwa kwa shilingi 3258.07.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.29 na kuuzwa kwa shilingi 229.49 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.59 na kuuzwa kwa shilingi 129.84.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3074.59 na kuuzwa kwa shilingi 3105.58 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 656.71 na kuuzwa kwa shilingi 663.09 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 154.77 na kuuzwa kwa shilingi 156.14.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2656.62 na kuuzwa kwa shilingi 2683.43.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 11th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 656.7069 | 663.0934 | 659.9002 | 11-Aug-23 |
2 | ATS | 154.7667 | 156.138 | 155.4523 | 11-Aug-23 |
3 | AUD | 1583.6022 | 1599.6818 | 1591.642 | 11-Aug-23 |
4 | BEF | 52.7924 | 53.2597 | 53.0261 | 11-Aug-23 |
5 | BIF | 0.8492 | 0.8527 | 0.851 | 11-Aug-23 |
6 | BWP | 178.716 | 181.2339 | 179.975 | 11-Aug-23 |
7 | CAD | 1800.0013 | 1817.3232 | 1808.6623 | 11-Aug-23 |
8 | CHF | 2757.6284 | 2783.9314 | 2770.7799 | 11-Aug-23 |
9 | CNY | 334.4967 | 337.748 | 336.1224 | 11-Aug-23 |
10 | CUC | 40.2663 | 45.7711 | 43.0187 | 11-Aug-23 |
11 | DEM | 966.3909 | 1098.5073 | 1032.4491 | 11-Aug-23 |
12 | DKK | 356.5621 | 360.0905 | 358.3263 | 11-Aug-23 |
13 | DZD | 19.6857 | 19.6875 | 19.6866 | 11-Aug-23 |
14 | ESP | 12.7996 | 12.9125 | 12.856 | 11-Aug-23 |
15 | EUR | 2656.6217 | 2683.4315 | 2670.0266 | 11-Aug-23 |
16 | FIM | 358.1772 | 361.3511 | 359.7641 | 11-Aug-23 |
17 | FRF | 324.6627 | 327.5346 | 326.0986 | 11-Aug-23 |
18 | GBP | 3074.5904 | 3105.5799 | 3090.0852 | 11-Aug-23 |
19 | HKD | 308.5434 | 311.6248 | 310.0841 | 11-Aug-23 |
20 | INR | 29.178 | 29.4502 | 29.3141 | 11-Aug-23 |
21 | IQD | 0.2481 | 0.2499 | 0.249 | 11-Aug-23 |
22 | IRR | 0.0085 | 0.0086 | 0.0086 | 11-Aug-23 |
23 | ITL | 1.0999 | 1.1096 | 1.1047 | 11-Aug-23 |
24 | JPY | 16.7255 | 16.8893 | 16.8074 | 11-Aug-23 |
25 | KES | 16.8071 | 16.9516 | 16.8793 | 11-Aug-23 |
26 | KRW | 1.8398 | 1.8562 | 1.848 | 11-Aug-23 |
27 | KWD | 7843.0678 | 7918.9233 | 7880.9956 | 11-Aug-23 |
28 | MWK | 2.0663 | 2.2372 | 2.1517 | 11-Aug-23 |
29 | MYR | 527.7509 | 532.5623 | 530.1566 | 11-Aug-23 |
30 | MZM | 37.4914 | 37.8075 | 37.6495 | 11-Aug-23 |
31 | NAD | 95.9489 | 96.8516 | 96.4002 | 11-Aug-23 |
32 | NLG | 966.3909 | 974.961 | 970.6759 | 11-Aug-23 |
33 | NOK | 237.1529 | 239.4138 | 238.2834 | 11-Aug-23 |
34 | NZD | 1464.6994 | 1479.8336 | 1472.2665 | 11-Aug-23 |
35 | PKR | 7.9762 | 8.4661 | 8.2211 | 11-Aug-23 |
36 | QAR | 844.0648 | 851.4503 | 847.7576 | 11-Aug-23 |
37 | RWF | 2.0295 | 2.0795 | 2.0545 | 11-Aug-23 |
38 | SAR | 642.8439 | 649.2377 | 646.0408 | 11-Aug-23 |
39 | SDR | 3225.8116 | 3258.0698 | 3241.9407 | 11-Aug-23 |
40 | SEK | 227.2881 | 229.4982 | 228.3931 | 11-Aug-23 |
41 | SGD | 1791.7107 | 1809.359 | 1800.5348 | 11-Aug-23 |
42 | TRY | 89.2147 | 90.0872 | 89.651 | 11-Aug-23 |
43 | UGX | 0.6216 | 0.6522 | 0.6369 | 11-Aug-23 |
44 | USD | 2411.8218 | 2435.94 | 2423.8809 | 11-Aug-23 |
45 | GOLD | 4631541.9594 | 4680293.319 | 4655917.6392 | 11-Aug-23 |
46 | ZAR | 128.5893 | 129.842 | 129.2157 | 11-Aug-23 |
47 | ZMK | 123.1298 | 127.8709 | 125.5004 | 11-Aug-23 |
48 | ZWD | 0.4513 | 0.4604 | 0.4559 | 11-Aug-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania