NA GODFREY NNKO
LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3068.17 na kuuzwa kwa shilingi 3099.83 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 16, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 654.49 na kuuzwa kwa shilingi 661.22 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 155.08 na kuuzwa kwa shilingi 156.45.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2637.52 na kuuzwa kwa shilingi 2664.88.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.59 na kuuzwa kwa shilingi 16.75 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.65 na kuuzwa kwa shilingi 334.87.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.79 na kuuzwa kwa shilingi 16.94 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2416.64 na kuuzwa kwa shilingi 2440.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7855.17 na kuuzwa kwa shilingi 7931.14.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1794.89 na kuuzwa kwa shilingi 1812.30 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2753.07 na kuuzwa kwa shilingi 2779.33.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.85.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1563.33 na kuuzwa kwa shilingi 1579.20 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3223.08 na kuuzwa kwa shilingi 3255.31.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.97 na kuuzwa kwa shilingi 225.13 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 125.80 na kuuzwa kwa shilingi 126.96.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 16th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 657.9482 | 664.4914 | 661.2198 | 16-Aug-23 |
2 | ATS | 155.0761 | 156.4501 | 155.7631 | 16-Aug-23 |
3 | AUD | 1563.3267 | 1579.2041 | 1571.2654 | 16-Aug-23 |
4 | BEF | 52.898 | 53.3662 | 53.1321 | 16-Aug-23 |
5 | BIF | 0.8521 | 0.8535 | 0.8528 | 16-Aug-23 |
6 | CAD | 1794.8927 | 1812.3033 | 1803.598 | 16-Aug-23 |
7 | CHF | 2753.0685 | 2779.3327 | 2766.2006 | 16-Aug-23 |
8 | CNY | 331.6467 | 334.8713 | 333.259 | 16-Aug-23 |
9 | DEM | 968.3229 | 1100.7035 | 1034.5132 | 16-Aug-23 |
10 | DKK | 354.0455 | 357.5335 | 355.7895 | 16-Aug-23 |
11 | ESP | 12.8252 | 12.9383 | 12.8817 | 16-Aug-23 |
12 | EUR | 2637.5248 | 2664.8764 | 2651.2006 | 16-Aug-23 |
13 | FIM | 358.8933 | 362.0735 | 360.4834 | 16-Aug-23 |
14 | FRF | 325.3118 | 328.1894 | 326.7506 | 16-Aug-23 |
15 | GBP | 3068.1707 | 3099.8287 | 3083.9997 | 16-Aug-23 |
16 | HKD | 308.8717 | 311.9525 | 310.4121 | 16-Aug-23 |
17 | INR | 28.9953 | 29.2765 | 29.1359 | 16-Aug-23 |
18 | ITL | 1.1021 | 1.1118 | 1.1069 | 16-Aug-23 |
19 | JPY | 16.5899 | 16.7523 | 16.6711 | 16-Aug-23 |
20 | KES | 16.7939 | 16.9383 | 16.8661 | 16-Aug-23 |
21 | KRW | 1.8066 | 1.823 | 1.8148 | 16-Aug-23 |
22 | KWD | 7855.1716 | 7931.1454 | 7893.1585 | 16-Aug-23 |
23 | MWK | 2.0704 | 2.2284 | 2.1494 | 16-Aug-23 |
24 | MYR | 521.6153 | 526.2067 | 523.911 | 16-Aug-23 |
25 | MZM | 37.508 | 37.8244 | 37.6662 | 16-Aug-23 |
26 | NLG | 968.3229 | 976.9101 | 972.6165 | 16-Aug-23 |
27 | NOK | 230.3298 | 232.5666 | 231.4482 | 16-Aug-23 |
28 | NZD | 1442.7362 | 1457.4076 | 1450.0719 | 16-Aug-23 |
29 | PKR | 7.9093 | 8.3865 | 8.1479 | 16-Aug-23 |
30 | RWF | 2.0202 | 2.0826 | 2.0514 | 16-Aug-23 |
31 | SAR | 644.3181 | 650.7265 | 647.5223 | 16-Aug-23 |
32 | SDR | 3223.0775 | 3255.3083 | 3239.1929 | 16-Aug-23 |
33 | SEK | 222.9685 | 225.1358 | 224.0521 | 16-Aug-23 |
34 | SGD | 1780.3474 | 1797.4888 | 1788.9181 | 16-Aug-23 |
35 | UGX | 0.6231 | 0.6538 | 0.6385 | 16-Aug-23 |
36 | USD | 2416.6436 | 2440.81 | 2428.7268 | 16-Aug-23 |
37 | GOLD | 4599597.696 | 4648522.645 | 4624060.1705 | 16-Aug-23 |
38 | ZAR | 125.8001 | 126.9589 | 126.3795 | 16-Aug-23 |
39 | ZMW | 120.8322 | 125.4915 | 123.1618 | 16-Aug-23 |
40 | ZWD | 0.4522 | 0.4614 | 0.4568 | 16-Aug-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania