Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 18, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.99 na kuuzwa kwa shilingi 225.17 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.56 na kuuzwa kwa shilingi 128.81.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 18, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3097.05 na kuuzwa kwa shilingi 3128.75 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 660.95 na kuuzwa kwa shilingi 667.47 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 155.77 na kuuzwa kwa shilingi 157.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2645.77 na kuuzwa kwa shilingi 2672.47.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.34 na kuuzwa kwa shilingi 336.46.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.85 na kuuzwa kwa shilingi 16.99 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2427.53 na kuuzwa kwa shilingi 2451.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7886.98 na kuuzwa kwa shilingi 7963.27.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1797.51 na kuuzwa kwa shilingi 1814.94 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2768.94 na kuuzwa kwa shilingi 2795.36.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1562.12 na kuuzwa kwa shilingi 1577.98 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3232.75 na kuuzwa kwa shilingi 3265.07.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 18th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 660.9493 667.4679 664.2086 18-Aug-23
2 ATS 155.775 157.1552 156.4651 18-Aug-23
3 AUD 1562.1185 1577.9849 1570.0517 18-Aug-23
4 BEF 53.1364 53.6067 53.3715 18-Aug-23
5 BIF 0.8554 0.8574 0.8564 18-Aug-23
6 BWP 178.4238 180.6984 179.5611 18-Aug-23
7 CAD 1797.5081 1814.9456 1806.2268 18-Aug-23
8 CHF 2768.9457 2795.3597 2782.1527 18-Aug-23
9 CNY 333.3381 336.4636 334.9008 18-Aug-23
10 CUC 40.5286 46.0693 43.299 18-Aug-23
11 DEM 972.6869 1105.664 1039.1755 18-Aug-23
12 DKK 355.0377 358.5618 356.7998 18-Aug-23
13 DZD 19.5513 19.5661 19.5587 18-Aug-23
14 ESP 12.883 12.9966 12.9398 18-Aug-23
15 EUR 2645.77 2672.4729 2659.1215 18-Aug-23
16 FIM 360.5107 363.7053 362.108 18-Aug-23
17 FRF 326.7779 329.6684 328.2231 18-Aug-23
18 GBP 3097.0487 3128.7547 3112.9017 18-Aug-23
19 HKD 310.1488 313.2303 311.6895 18-Aug-23
20 INR 29.2275 29.5127 29.3701 18-Aug-23
21 IQD 0.2497 0.2515 0.2506 18-Aug-23
22 IRR 0.0086 0.0087 0.0086 18-Aug-23
23 ITL 1.107 1.1168 1.1119 18-Aug-23
24 JPY 16.6589 16.8243 16.7416 18-Aug-23
25 KES 16.8462 16.9911 16.9186 18-Aug-23
26 KRW 1.8153 1.8326 1.824 18-Aug-23
27 KWD 7886.9835 7963.2661 7925.1248 18-Aug-23
28 MWK 2.0867 2.2284 2.1576 18-Aug-23
29 MYR 522.0505 526.7046 524.3775 18-Aug-23
30 MZM 37.6829 38.0008 37.8419 18-Aug-23
31 NAD 94.4814 95.3228 94.9021 18-Aug-23
32 NLG 972.6869 981.3128 976.9998 18-Aug-23
33 NOK 230.0741 232.2978 231.1859 18-Aug-23
34 NZD 1444.8686 1460.298 1452.5833 18-Aug-23
35 PKR 7.8175 8.2276 8.0225 18-Aug-23
36 QAR 849.6937 858.157 853.9254 18-Aug-23
37 RWF 2.0377 2.0907 2.0642 18-Aug-23
38 SAR 647.3081 653.7463 650.5272 18-Aug-23
39 SDR 3232.7479 3265.0754 3248.9116 18-Aug-23
40 SEK 222.9919 225.1681 224.08 18-Aug-23
41 SGD 1788.2392 1805.9885 1797.1138 18-Aug-23
42 TRY 89.5859 90.469 90.0274 18-Aug-23
43 UGX 0.6243 0.655 0.6397 18-Aug-23
44 USD 2427.5347 2451.81 2439.6723 18-Aug-23
45 GOLD 4609496.7456 4657992.035 4633744.3903 18-Aug-23
46 ZAR 127.5636 128.8081 128.1858 18-Aug-23
47 ZMK 121.3767 126.0571 123.7169 18-Aug-23
48 ZWD 0.4543 0.4634 0.4589 18-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news