Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 2, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1580.68 na kuuzwa kwa shilingi 1596.72 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3231.39 na kuuzwa kwa shilingi 3263.70.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.85 na kuuzwa kwa shilingi 227.04 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.94 na kuuzwa kwa shilingi 133.15.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2390.26 na kuuzwa kwa shilingi 2414.16 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7771.17 na kuuzwa kwa shilingi 7846.33.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3049.97 na kuuzwa kwa shilingi 3081.43 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 650.76 na kuuzwa kwa shilingi 657.24 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 153.38 na kuuzwa kwa shilingi 154.74.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2619.00 na kuuzwa kwa shilingi 2646.16.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.69 na kuuzwa kwa shilingi 16.86 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.55 na kuuzwa kwa shilingi 336.79.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.77 na kuuzwa kwa shilingi 16.91 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1798.94 na kuuzwa kwa shilingi 1816.39 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2726.42 na kuuzwa kwa shilingi 2752.43.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.28 na kuuzwa kwa shilingi 2.30.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 2nd, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 650.7643 657.2362 654.0003 02-Aug-23
2 ATS 153.3829 154.7419 154.0624 02-Aug-23
3 AUD 1580.6772 1596.7254 1588.7013 02-Aug-23
4 BEF 52.3204 52.7835 52.552 02-Aug-23
5 BIF 2.2885 2.3058 2.2972 02-Aug-23
6 BWP 180.2254 182.5105 181.368 02-Aug-23
7 CAD 1798.9444 1816.387 1807.6657 02-Aug-23
8 CHF 2726.4257 2752.4342 2739.4299 02-Aug-23
9 CNY 333.5507 336.7922 335.1714 02-Aug-23
10 CUC 39.9063 45.3619 42.6341 02-Aug-23
11 DEM 957.7503 1088.6855 1023.2179 02-Aug-23
12 DKK 351.5498 355.0131 353.2814 02-Aug-23
13 DZD 19.4028 19.3976 19.4002 02-Aug-23
14 ESP 12.6851 12.797 12.7411 02-Aug-23
15 EUR 2619.0051 2646.1608 2632.5829 02-Aug-23
16 FIM 354.9747 358.1202 356.5474 02-Aug-23
17 FRF 321.7599 324.606 323.1829 02-Aug-23
18 GBP 3049.9685 3081.4338 3065.7011 02-Aug-23
19 HKD 306.6438 309.6943 308.169 02-Aug-23
20 INR 29.0563 29.3272 29.1918 02-Aug-23
21 IQD 0.2458 0.2476 0.2467 02-Aug-23
22 IRR 0.0085 0.0085 0.0085 02-Aug-23
23 ITL 1.09 1.0997 1.0949 02-Aug-23
24 JPY 16.6999 16.8634 16.7816 02-Aug-23
25 KES 16.7679 16.9118 16.8398 02-Aug-23
26 KRW 1.8538 1.8719 1.8629 02-Aug-23
27 KWD 7771.1731 7846.3339 7808.7535 02-Aug-23
28 MWK 2.1083 2.2692 2.1888 02-Aug-23
29 MYR 529.1692 534.1062 531.6377 02-Aug-23
30 MZM 37.1043 37.4172 37.2608 02-Aug-23
31 NAD 99.3206 100.173 99.7468 02-Aug-23
32 NLG 957.7503 966.2437 961.997 02-Aug-23
33 NOK 233.7363 236.0044 234.8704 02-Aug-23
34 NZD 1468.0961 1483.7427 1475.9194 02-Aug-23
35 PKR 7.9051 8.3825 8.1438 02-Aug-23
36 QAR 837.0526 845.4561 841.2543 02-Aug-23
37 RWF 2.0182 2.0711 2.0446 02-Aug-23
38 SAR 637.1981 643.5357 640.3669 02-Aug-23
39 SDR 3231.389 3263.7029 3247.546 02-Aug-23
40 SEK 224.8532 227.0377 225.9455 02-Aug-23
41 SGD 1789.7847 1807.2765 1798.5306 02-Aug-23
42 TRY 88.6627 89.5095 89.0861 02-Aug-23
43 UGX 0.6339 0.6651 0.6495 02-Aug-23
44 USD 2390.2574 2414.16 2402.2087 02-Aug-23
45 GOLD 4660978.0776 4708577.664 4684777.8708 02-Aug-23
46 ZAR 131.9425 133.1517 132.5471 02-Aug-23
47 ZMK 122.3509 127.0611 124.706 02-Aug-23
48 ZWD 0.4473 0.4563 0.4518 02-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news