Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 21, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1549.01 na kuuzwa kwa shilingi 1564.99 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3230.32 na kuuzwa kwa shilingi 3262.62.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 21, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.91 na kuuzwa kwa shilingi 223.03 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.09 na kuuzwa kwa shilingi 128.31.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3081.03 na kuuzwa kwa shilingi 3112.82 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 660.98 na kuuzwa kwa shilingi 667.41 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 155.77 na kuuzwa kwa shilingi 157.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2634.60 na kuuzwa kwa shilingi 2661.93.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.15 na kuuzwa kwa shilingi 336.37.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.83 na kuuzwa kwa shilingi 16.97 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2427.53 na kuuzwa kwa shilingi 2451.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7882.63 na kuuzwa kwa shilingi 7956.29.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1789.29 na kuuzwa kwa shilingi 1806.65 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2754.49 na kuuzwa kwa shilingi 2780.77.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 21st, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 660.9853 667.4134 664.1994 21-Aug-23
2 ATS 155.775 157.1552 156.4651 21-Aug-23
3 AUD 1549.0099 1564.9903 1557.0001 21-Aug-23
4 BEF 53.1364 53.6067 53.3715 21-Aug-23
5 BIF 0.8545 0.858 0.8563 21-Aug-23
6 BWP 177.9383 180.208 179.0732 21-Aug-23
7 CAD 1789.2936 1806.6539 1797.9738 21-Aug-23
8 CHF 2754.493 2780.7758 2767.6344 21-Aug-23
9 CNY 333.1505 336.3712 334.7609 21-Aug-23
10 CUC 40.5286 46.0693 43.299 21-Aug-23
11 DEM 972.6869 1105.664 1039.1755 21-Aug-23
12 DKK 353.6515 357.1516 355.4016 21-Aug-23
13 DZD 19.4063 19.4134 19.4099 21-Aug-23
14 ESP 12.883 12.9966 12.9398 21-Aug-23
15 EUR 2634.6034 2661.9301 2648.2667 21-Aug-23
16 FIM 360.5107 363.7053 362.108 21-Aug-23
17 FRF 326.7779 329.6684 328.2231 21-Aug-23
18 GBP 3081.027 3112.818 3096.9225 21-Aug-23
19 HKD 309.9904 313.0703 311.5303 21-Aug-23
20 INR 29.2186 29.5055 29.362 21-Aug-23
21 IQD 0.2497 0.2515 0.2506 21-Aug-23
22 IRR 0.0086 0.0087 0.0086 21-Aug-23
23 ITL 1.107 1.1168 1.1119 21-Aug-23
24 JPY 16.6555 16.8209 16.7382 21-Aug-23
25 KES 16.8287 16.9734 16.901 21-Aug-23
26 KRW 1.8105 1.8275 1.819 21-Aug-23
27 KWD 7882.6297 7956.2889 7919.4593 21-Aug-23
28 MWK 2.0797 2.2384 2.1591 21-Aug-23
29 MYR 522.6124 527.271 524.9417 21-Aug-23
30 MZM 37.6829 38.0008 37.8419 21-Aug-23
31 NAD 93.6754 94.5496 94.1125 21-Aug-23
32 NLG 972.6869 981.3128 976.9998 21-Aug-23
33 NOK 227.6297 229.8285 228.7291 21-Aug-23
34 NZD 1434.9157 1449.7553 1442.3355 21-Aug-23
35 PKR 7.7845 8.2276 8.006 21-Aug-23
36 QAR 845.9944 853.4348 849.7146 21-Aug-23
37 RWF 2.0371 2.0872 2.0621 21-Aug-23
38 SAR 647.4807 653.7114 650.5961 21-Aug-23
39 SDR 3230.3204 3262.6236 3246.472 21-Aug-23
40 SEK 220.9099 223.0297 221.9698 21-Aug-23
41 SGD 1787.4491 1804.3936 1795.9214 21-Aug-23
42 TRY 89.5739 90.4457 90.0098 21-Aug-23
43 UGX 0.6244 0.6552 0.6398 21-Aug-23
44 USD 2427.5347 2451.81 2439.6723 21-Aug-23
45 GOLD 4585855.7139 4636863.072 4611359.3929 21-Aug-23
46 ZAR 127.0887 128.3146 127.7017 21-Aug-23
47 ZMK 121.6904 126.382 124.0362 21-Aug-23
48 ZWD 0.4543 0.4634 0.4589 21-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news