NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2427.53 na kuuzwa kwa shilingi 2451.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7882.63 na kuuzwa kwa shilingi 7953.71.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 23, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1566.24 na kuuzwa kwa shilingi 1582.39 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3231.78 na kuuzwa kwa shilingi 3264.09.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.88 na kuuzwa kwa shilingi 225.07 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.64 na kuuzwa kwa shilingi 130.89.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3098.75 na kuuzwa kwa shilingi 3122.83 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 660.98 na kuuzwa kwa shilingi 667.41 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 155.77 na kuuzwa kwa shilingi 157.15.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2643.09 na kuuzwa kwa shilingi 2670.27.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.82 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.94 na kuuzwa kwa shilingi 336.18.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.81 na kuuzwa kwa shilingi 16.95 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1796.71 na kuuzwa kwa shilingi 1814.14 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2763.90 na kuuzwa kwa shilingi 2790.59.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 23rd, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 660.9853 | 667.4134 | 664.1994 | 23-Aug-23 |
2 | ATS | 155.775 | 157.1552 | 156.4651 | 23-Aug-23 |
3 | AUD | 1566.2454 | 1582.3982 | 1574.3218 | 23-Aug-23 |
4 | BEF | 53.1364 | 53.6067 | 53.3715 | 23-Aug-23 |
5 | BIF | 0.8557 | 0.8565 | 0.8561 | 23-Aug-23 |
6 | BWP | 179.6376 | 181.9243 | 180.7809 | 23-Aug-23 |
7 | CAD | 1796.7098 | 1814.1398 | 1805.4248 | 23-Aug-23 |
8 | CHF | 2763.9015 | 2790.5873 | 2777.2444 | 23-Aug-23 |
9 | CNY | 332.9449 | 336.1821 | 334.5635 | 23-Aug-23 |
10 | CUC | 40.5286 | 46.0693 | 43.299 | 23-Aug-23 |
11 | DEM | 972.6869 | 1105.664 | 1039.1755 | 23-Aug-23 |
12 | DKK | 354.659 | 358.1795 | 356.4192 | 23-Aug-23 |
13 | DZD | 19.4927 | 19.4981 | 19.4954 | 23-Aug-23 |
14 | ESP | 12.883 | 12.9966 | 12.9398 | 23-Aug-23 |
15 | EUR | 2643.0997 | 2670.2663 | 2656.683 | 23-Aug-23 |
16 | FIM | 360.5107 | 363.7053 | 362.108 | 23-Aug-23 |
17 | FRF | 326.7779 | 329.6684 | 328.2231 | 23-Aug-23 |
18 | GBP | 3098.748 | 3130.2258 | 3114.4869 | 23-Aug-23 |
19 | HKD | 309.7333 | 312.8266 | 311.28 | 23-Aug-23 |
20 | INR | 29.2654 | 29.5523 | 29.4089 | 23-Aug-23 |
21 | IQD | 0.2497 | 0.2515 | 0.2506 | 23-Aug-23 |
22 | IRR | 0.0086 | 0.0087 | 0.0086 | 23-Aug-23 |
23 | ITL | 1.107 | 1.1168 | 1.1119 | 23-Aug-23 |
24 | JPY | 16.6566 | 16.8209 | 16.7387 | 23-Aug-23 |
25 | KES | 16.8112 | 16.9558 | 16.8835 | 23-Aug-23 |
26 | KRW | 1.8178 | 1.8333 | 1.8255 | 23-Aug-23 |
27 | KWD | 7882.6297 | 7953.7079 | 7918.1688 | 23-Aug-23 |
28 | MWK | 2.0797 | 2.2384 | 2.1591 | 23-Aug-23 |
29 | MYR | 522.4999 | 527.271 | 524.8854 | 23-Aug-23 |
30 | MZM | 37.6829 | 38.0008 | 37.8419 | 23-Aug-23 |
31 | NAD | 95.9781 | 96.8316 | 96.4048 | 23-Aug-23 |
32 | NLG | 972.6869 | 981.3128 | 976.9998 | 23-Aug-23 |
33 | NOK | 229.5541 | 231.762 | 230.658 | 23-Aug-23 |
34 | NZD | 1447.0534 | 1462.5047 | 1454.779 | 23-Aug-23 |
35 | PKR | 7.7129 | 8.1727 | 7.9428 | 23-Aug-23 |
36 | QAR | 850.1833 | 858.5841 | 854.3837 | 23-Aug-23 |
37 | RWF | 2.0285 | 2.0897 | 2.0591 | 23-Aug-23 |
38 | SAR | 647.1527 | 653.6068 | 650.3798 | 23-Aug-23 |
39 | SDR | 3231.7769 | 3264.0947 | 3247.9358 | 23-Aug-23 |
40 | SEK | 222.8855 | 225.0688 | 223.9772 | 23-Aug-23 |
41 | SGD | 1791.9352 | 1809.1868 | 1800.561 | 23-Aug-23 |
42 | TRY | 89.2492 | 90.1311 | 89.6902 | 23-Aug-23 |
43 | UGX | 0.6265 | 0.6573 | 0.6419 | 23-Aug-23 |
44 | USD | 2427.5347 | 2451.81 | 2439.6723 | 23-Aug-23 |
45 | GOLD | 4616199.897 | 4668736.602 | 4642468.2495 | 23-Aug-23 |
46 | ZAR | 129.6372 | 130.8916 | 130.2644 | 23-Aug-23 |
47 | ZMK | 121.3767 | 126.0571 | 123.7169 | 23-Aug-23 |
48 | ZWD | 0.4543 | 0.4634 | 0.4589 | 23-Aug-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania