Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 28, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.93 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.72 na kuuzwa kwa shilingi 336.98.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.78 na kuuzwa kwa shilingi 16.93 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.27.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1789.69 na kuuzwa kwa shilingi 1807.06 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2749.51 na kuuzwa kwa shilingi 2775.74.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2431.66 na kuuzwa kwa shilingi 2455.98 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7883.49 na kuuzwa kwa shilingi 7957.17.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1562.34 na kuuzwa kwa shilingi 1578.21 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3233.87 na kuuzwa kwa shilingi 3266.21.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 221.09 na kuuzwa kwa shilingi 223.25 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.70 na kuuzwa kwa shilingi 131.96.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3068.52 na kuuzwa kwa shilingi 3100.18 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 662.11 na kuuzwa kwa shilingi 668.55 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.04 na kuuzwa kwa shilingi 157.42.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2628.87 na kuuzwa kwa shilingi 2656.14.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 28th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 662.1095 668.5485 665.329 28-Aug-23
2 ATS 156.0399 157.4225 156.7312 28-Aug-23
3 AUD 1562.3437 1578.2128 1570.2782 28-Aug-23
4 BEF 53.2267 53.6979 53.4623 28-Aug-23
5 BIF 0.8555 0.859 0.8573 28-Aug-23
6 CAD 1789.6985 1807.0635 1798.381 28-Aug-23
7 CHF 2749.5063 2775.7459 2762.6261 28-Aug-23
8 CNY 333.7217 336.9803 335.351 28-Aug-23
9 DEM 974.3412 1107.5445 1040.9429 28-Aug-23
10 DKK 352.7728 356.2696 354.5212 28-Aug-23
11 ESP 12.9049 13.0187 12.9618 28-Aug-23
12 EUR 2628.8712 2656.1424 2642.5068 28-Aug-23
13 FIM 361.1238 364.3238 362.7238 28-Aug-23
14 FRF 327.3337 330.2291 328.7814 28-Aug-23
15 GBP 3068.516 3100.1836 3084.3498 28-Aug-23
16 HKD 310.0267 313.1189 311.5728 28-Aug-23
17 INR 29.4348 29.723 29.5789 28-Aug-23
18 ITL 1.1089 1.1187 1.1138 28-Aug-23
19 JPY 16.6598 16.8241 16.7419 28-Aug-23
20 KES 16.7817 16.9261 16.8539 28-Aug-23
21 KRW 1.8398 1.8556 1.8477 28-Aug-23
22 KWD 7883.4929 7957.1683 7920.3306 28-Aug-23
23 MWK 2.0947 2.2677 2.1812 28-Aug-23
24 MYR 524.2914 529.078 526.6847 28-Aug-23
25 MZM 37.8057 38.1245 37.9651 28-Aug-23
26 NLG 974.3412 982.9818 978.6615 28-Aug-23
27 NOK 228.2973 230.5045 229.4009 28-Aug-23
28 NZD 1440.031 1454.9226 1447.4768 28-Aug-23
29 PKR 7.6696 8.0524 7.861 28-Aug-23
30 RWF 2.0333 2.0833 2.0583 28-Aug-23
31 SAR 648.2707 654.7185 651.4946 28-Aug-23
32 SDR 3233.8692 3266.2078 3250.0385 28-Aug-23
33 SEK 221.0945 223.2526 222.1736 28-Aug-23
34 SGD 1795.1154 1812.9328 1804.0241 28-Aug-23
35 UGX 0.6326 0.6638 0.6482 28-Aug-23
36 USD 2431.6634 2455.98 2443.8217 28-Aug-23
37 GOLD 4660039.6756 4710569.6404 4685304.658 28-Aug-23
38 ZAR 130.7058 131.9596 131.3327 28-Aug-23
39 ZMW 119.7316 124.3534 122.0425 28-Aug-23
40 ZWD 0.455 0.4642 0.4596 28-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news