Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 29, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2627.89 na kuuzwa kwa shilingi 2655.16.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 29, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.60 na kuuzwa kwa shilingi 16.76 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.44 na kuuzwa kwa shilingi 336.72.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.76 na kuuzwa kwa shilingi 16.90 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1789.30 na kuuzwa kwa shilingi 1807.06 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2751.06 na kuuzwa kwa shilingi 2777.31.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2431.66 na kuuzwa kwa shilingi 2455.98 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7884.51 na kuuzwa kwa shilingi 7960.78.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1561.86 na kuuzwa kwa shilingi 1577.72 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3226.33 na kuuzwa kwa shilingi 3258.59.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.94 na kuuzwa kwa shilingi 223.09 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.33 na kuuzwa kwa shilingi 131.60.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3061.71 na kuuzwa kwa shilingi 3O93.06 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 662.05 na kuuzwa kwa shilingi 668.62 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.04 na kuuzwa kwa shilingi 157.42.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 29th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 662.0554 668.6214 665.3384 29-Aug-23
2 ATS 156.0399 157.4225 156.7312 29-Aug-23
3 AUD 1561.8574 1577.7216 1569.7895 29-Aug-23
4 BEF 53.2267 53.6979 53.4623 29-Aug-23
5 BIF 0.8568 0.862 0.8594 29-Aug-23
6 CAD 1789.3035 1807.0635 1798.1835 29-Aug-23
7 CHF 2751.0616 2777.3154 2764.1885 29-Aug-23
8 CNY 333.438 336.717 335.0775 29-Aug-23
9 DEM 974.3412 1107.5445 1040.9429 29-Aug-23
10 DKK 352.6654 356.1662 354.4158 29-Aug-23
11 ESP 12.9049 13.0187 12.9618 29-Aug-23
12 EUR 2627.8986 2655.16 2641.5293 29-Aug-23
13 FIM 361.1238 364.3238 362.7238 29-Aug-23
14 FRF 327.3337 330.2291 328.7814 29-Aug-23
15 GBP 3061.7074 3093.0612 3077.3843 29-Aug-23
16 HKD 309.9793 313.0591 311.5192 29-Aug-23
17 INR 29.439 29.7136 29.5763 29-Aug-23
18 ITL 1.1089 1.1187 1.1138 29-Aug-23
19 JPY 16.6029 16.7655 16.6842 29-Aug-23
20 KES 16.7585 16.9028 16.8307 29-Aug-23
21 KRW 1.8335 1.8515 1.8425 29-Aug-23
22 KWD 7884.5153 7960.7793 7922.6473 29-Aug-23
23 MWK 2.0902 2.2322 2.1612 29-Aug-23
24 MYR 522.7135 527.3739 525.0437 29-Aug-23
25 MZM 37.747 38.0654 37.9062 29-Aug-23
26 NLG 974.3412 982.9818 978.6615 29-Aug-23
27 NOK 227.3794 229.5844 228.4819 29-Aug-23
28 NZD 1437.8426 1453.2034 1445.523 29-Aug-23
29 PKR 7.641 8.0524 7.8467 29-Aug-23
30 RWF 2.0318 2.0846 2.0582 29-Aug-23
31 SAR 648.1843 654.6487 651.4165 29-Aug-23
32 SDR 3226.3309 3258.5943 3242.4626 29-Aug-23
33 SEK 220.9438 223.0924 222.0181 29-Aug-23
34 SGD 1793.1298 1810.6606 1801.8952 29-Aug-23
35 UGX 0.6309 0.662 0.6465 29-Aug-23
36 USD 2431.6634 2455.98 2443.8217 29-Aug-23
37 GOLD 4657126.2993 4706000.5347 4681563.417 29-Aug-23
38 ZAR 130.3324 131.6054 130.9689 29-Aug-23
39 ZMW 119.1269 123.727 121.4269 29-Aug-23
40 ZWD 0.455 0.4642 0.4596 29-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news