NA GODFREY NNKO
LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.29 na kuuzwa kwa shilingi 2.30.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 3, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1568.49 na kuuzwa kwa shilingi 1584.41 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3231.39 na kuuzwa kwa shilingi 3263.70.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.76 na kuuzwa kwa shilingi 225.91 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.81 na kuuzwa kwa shilingi 131.08.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2390.26 na kuuzwa kwa shilingi 2414.16 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7766.63 na kuuzwa kwa shilingi 7841.75.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3040.88 na kuuzwa kwa shilingi 3072.26 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 650.78 na kuuzwa kwa shilingi 657.24 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 153.38 na kuuzwa kwa shilingi 154.74.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2619.72 na kuuzwa kwa shilingi 2646.16.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.69 na kuuzwa kwa shilingi 16.86 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.85 na kuuzwa kwa shilingi 336.13.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.75 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1794.76 na kuuzwa kwa shilingi 1812.16 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2717.44 na kuuzwa kwa shilingi 2743.36.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 3rd, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 650.782 | 657.2362 | 654.0091 | 03-Aug-23 |
2 | ATS | 153.3829 | 154.7419 | 154.0624 | 03-Aug-23 |
3 | AUD | 1568.4869 | 1584.4132 | 1576.4501 | 03-Aug-23 |
4 | BEF | 52.3204 | 52.7836 | 52.552 | 03-Aug-23 |
5 | BIF | 2.2885 | 2.3058 | 2.2972 | 03-Aug-23 |
6 | CAD | 1794.7571 | 1812.1603 | 1803.4587 | 03-Aug-23 |
7 | CHF | 2717.4368 | 2743.3636 | 2730.4002 | 03-Aug-23 |
8 | CNY | 332.8493 | 336.1309 | 334.4901 | 03-Aug-23 |
9 | DEM | 957.7503 | 1088.6855 | 1023.2179 | 03-Aug-23 |
10 | DKK | 351.5757 | 355.0549 | 353.3153 | 03-Aug-23 |
11 | ESP | 12.6851 | 12.797 | 12.7411 | 03-Aug-23 |
12 | EUR | 2619.7222 | 2646.1608 | 2632.9415 | 03-Aug-23 |
13 | FIM | 354.9746 | 358.1202 | 356.5474 | 03-Aug-23 |
14 | FRF | 321.7598 | 324.606 | 323.1829 | 03-Aug-23 |
15 | GBP | 3040.8855 | 3072.2601 | 3056.5728 | 03-Aug-23 |
16 | HKD | 306.455 | 309.5156 | 307.9853 | 03-Aug-23 |
17 | INR | 28.9416 | 29.2116 | 29.0766 | 03-Aug-23 |
18 | ITL | 1.09 | 1.0997 | 1.0949 | 03-Aug-23 |
19 | JPY | 16.6999 | 16.8657 | 16.7828 | 03-Aug-23 |
20 | KES | 16.7502 | 16.8941 | 16.8221 | 03-Aug-23 |
21 | KRW | 1.8417 | 1.8589 | 1.8503 | 03-Aug-23 |
22 | KWD | 7766.628 | 7841.7462 | 7804.1871 | 03-Aug-23 |
23 | MWK | 2.1084 | 2.2818 | 2.1951 | 03-Aug-23 |
24 | MYR | 526.3725 | 530.9347 | 528.6536 | 03-Aug-23 |
25 | MZM | 37.1043 | 37.4173 | 37.2608 | 03-Aug-23 |
26 | NLG | 957.7503 | 966.2437 | 961.997 | 03-Aug-23 |
27 | NOK | 234.1416 | 236.4228 | 235.2822 | 03-Aug-23 |
28 | NZD | 1455.6667 | 1471.1891 | 1463.4279 | 03-Aug-23 |
29 | PKR | 7.9591 | 8.4099 | 8.1845 | 03-Aug-23 |
30 | RWF | 2.013 | 2.0728 | 2.0429 | 03-Aug-23 |
31 | SAR | 637.1641 | 643.5015 | 640.3328 | 03-Aug-23 |
32 | SDR | 3231.3891 | 3263.7029 | 3247.546 | 03-Aug-23 |
33 | SEK | 223.765 | 225.9096 | 224.8373 | 03-Aug-23 |
34 | SGD | 1783.9073 | 1801.0743 | 1792.4908 | 03-Aug-23 |
35 | UGX | 0.6351 | 0.6663 | 0.6507 | 03-Aug-23 |
36 | USD | 2390.2574 | 2414.16 | 2402.2087 | 03-Aug-23 |
37 | GOLD | 4646875.5588 | 4694334.12 | 4670604.8394 | 03-Aug-23 |
38 | ZAR | 129.8129 | 131.0797 | 130.4463 | 03-Aug-23 |
39 | ZMW | 121.0731 | 125.7375 | 123.4053 | 03-Aug-23 |
40 | ZWD | 0.4473 | 0.4563 | 0.4518 | 03-Aug-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania