Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 30, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3058.30 na kuuzwa kwa shilingi 3089.87 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 30, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2624.98 na kuuzwa kwa shilingi 2651.72.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.52 na kuuzwa kwa shilingi 16.68 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 333.37 na kuuzwa kwa shilingi 336.67.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.75 na kuuzwa kwa shilingi 16.89 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1784.18 na kuuzwa kwa shilingi 1801.89 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2749.19 na kuuzwa kwa shilingi 2775.43.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2431.66 na kuuzwa kwa shilingi 2455.98 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7882.73 na kuuzwa kwa shilingi 7958.97.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1558.04 na kuuzwa kwa shilingi 1574.28 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3226.33 na kuuzwa kwa shilingi 3258.59.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.97 na kuuzwa kwa shilingi 223.11 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.93 na kuuzwa kwa shilingi 132.19.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 662.05 na kuuzwa kwa shilingi 668.62 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.04 na kuuzwa kwa shilingi 157.42.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 30th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 662.0554 668.6214 665.3384 30-Aug-23
2 ATS 156.0399 157.4225 156.7312 30-Aug-23
3 AUD 1558.2099 1574.2832 1566.2465 30-Aug-23
4 BEF 53.2267 53.6979 53.4623 30-Aug-23
5 BIF 0.8554 0.8632 0.8593 30-Aug-23
6 CAD 1784.1833 1801.8929 1793.0381 30-Aug-23
7 CHF 2749.1954 2775.4322 2762.3138 30-Aug-23
8 CNY 333.3694 336.6662 335.0178 30-Aug-23
9 DEM 974.3412 1107.5445 1040.9429 30-Aug-23
10 DKK 352.2619 355.7329 353.9974 30-Aug-23
11 ESP 12.9049 13.0187 12.9618 30-Aug-23
12 EUR 2624.9806 2651.7216 2638.3511 30-Aug-23
13 FIM 361.1238 364.3238 362.7238 30-Aug-23
14 FRF 327.3337 330.2291 328.7814 30-Aug-23
15 GBP 3058.303 3089.8684 3074.0857 30-Aug-23
16 HKD 309.9003 312.9833 311.4418 30-Aug-23
17 INR 29.3735 29.6607 29.5171 30-Aug-23
18 ITL 1.1089 1.1187 1.1138 30-Aug-23
19 JPY 16.5217 16.6835 16.6026 30-Aug-23
20 KES 16.7528 16.897 16.8249 30-Aug-23
21 KRW 1.8318 1.8492 1.8405 30-Aug-23
22 KWD 7882.7262 7958.9734 7920.8498 30-Aug-23
23 MWK 2.0833 2.2659 2.1746 30-Aug-23
24 MYR 523.7268 528.395 526.0609 30-Aug-23
25 MZM 37.7998 38.1186 37.9592 30-Aug-23
26 NLG 974.3412 982.9818 978.6615 30-Aug-23
27 NOK 227.027 229.233 228.13 30-Aug-23
28 NZD 1433.2224 1448.537 1440.8797 30-Aug-23
29 PKR 7.6114 8.0524 7.8319 30-Aug-23
30 RWF 2.0324 2.0824 2.0574 30-Aug-23
31 SAR 648.2534 654.701 651.4772 30-Aug-23
32 SDR 3226.3309 3258.5943 3242.4626 30-Aug-23
33 SEK 220.9679 223.1147 222.0413 30-Aug-23
34 SGD 1792.8654 1810.1268 1801.4961 30-Aug-23
35 UGX 0.6292 0.6602 0.6447 30-Aug-23
36 USD 2431.6634 2455.98 2443.8217 30-Aug-23
37 GOLD 4656878.5128 4705657.68 4681268.0964 30-Aug-23
38 ZAR 130.9338 132.187 131.5604 30-Aug-23
39 ZMW 118.2313 122.799 120.5151 30-Aug-23
40 ZWD 0.455 0.4642 0.4596 30-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news