Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 9, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2405.81 na kuuzwa kwa shilingi 2429.87 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7825.05 na kuuzwa kwa shilingi 7900.73.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 9, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1799.01 na kuuzwa kwa shilingi 1816.32 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2747.30 na kuuzwa kwa shilingi 2773.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.85 na kuuzwa kwa shilingi 0.85.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1580.86 na kuuzwa kwa shilingi 1597.15 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3216.33 na kuuzwa kwa shilingi 3248.49.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.71 na kuuzwa kwa shilingi 228.49 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.18 na kuuzwa kwa shilingi 130.37.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3068.85 na kuuzwa kwa shilingi 3100.76 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 655.11 na kuuzwa kwa shilingi 661.48 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 154.38 na kuuzwa kwa shilingi 155.75.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2641.58 na kuuzwa kwa shilingi 2668.97.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.92 na kuuzwa kwa shilingi 16.97 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 334.69 na kuuzwa kwa shilingi 337.96.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.83 na kuuzwa kwa shilingi 16.97 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.07 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today August 9th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 655.1061 661.4771 658.2916 09-Aug-23
2 ATS 154.381 155.749 155.065 09-Aug-23
3 AUD 1580.859 1597.1536 1589.0063 09-Aug-23
4 BEF 52.6608 53.127 52.8939 09-Aug-23
5 BIF 0.8474 0.8509 0.8491 09-Aug-23
6 CAD 1799.0069 1816.3179 1807.6624 09-Aug-23
7 CHF 2747.3014 2773.5076 2760.4045 09-Aug-23
8 CNY 334.6983 337.9607 336.3295 09-Aug-23
9 DEM 963.9828 1095.77 1029.8764 09-Aug-23
10 DKK 354.5884 358.0816 356.335 09-Aug-23
11 ESP 12.7677 12.8803 12.824 09-Aug-23
12 EUR 2641.5814 2668.9692 2655.2753 09-Aug-23
13 FIM 357.2847 360.4507 358.8677 09-Aug-23
14 FRF 323.8536 326.7184 325.286 09-Aug-23
15 GBP 3068.8537 3100.7571 3084.8054 09-Aug-23
16 HKD 308.1648 311.2424 309.7036 09-Aug-23
17 INR 29.0894 29.3608 29.2251 09-Aug-23
18 ITL 1.0971 1.1068 1.102 09-Aug-23
19 JPY 16.9233 17.0913 17.0073 09-Aug-23
20 KES 16.8298 16.9743 16.902 09-Aug-23
21 KRW 1.8397 1.8573 1.8485 09-Aug-23
22 KWD 7825.0508 7900.7316 7862.8912 09-Aug-23
23 MWK 2.0743 2.2149 2.1446 09-Aug-23
24 MYR 527.9376 532.7494 530.3435 09-Aug-23
25 MZM 37.4038 37.7192 37.5615 09-Aug-23
26 NLG 963.9828 972.5315 968.2572 09-Aug-23
27 NOK 236.9908 239.2758 238.1333 09-Aug-23
28 NZD 1468.0264 1483.6786 1475.8525 09-Aug-23
29 PKR 8.1119 8.5035 8.3077 09-Aug-23
30 RWF 2.0276 2.0776 2.0526 09-Aug-23
31 SAR 641.3104 647.689 644.4997 09-Aug-23
32 SDR 3216.33 3248.4932 3232.4116 09-Aug-23
33 SEK 226.7153 228.9242 227.8197 09-Aug-23
34 SGD 1794.5785 1811.8485 1803.2135 09-Aug-23
35 UGX 0.6401 0.6716 0.6559 09-Aug-23
36 USD 2405.8118 2429.87 2417.8409 09-Aug-23
37 GOLD 4657868.325 4705443.255 4681655.79 09-Aug-23
38 ZAR 129.1794 130.3662 129.7728 09-Aug-23
39 ZMW 120.7387 121.4874 121.1131 09-Aug-23
40 ZWD 0.4503 0.4593 0.4548 09-Aug-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news