
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Juu Amani Wilaya ya Mjini Unguja (FLYOVER) akizungumza akiwa katika eneo la mradi huo leo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Kituo cha Ujenzi wa Barabara ya Juu (Flyover) Amani akiwa katika ziara yake kukagua hatu ya ujenzi wa Mradi huo leo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu).