NA GODFREY NNKO
KAMPUNI ya Yapi Merkezi inayojenga reli yenye kiwango cha Kimataifa (SGR) kati ya Dar es Salaam hadi Isaka imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizotolewa kupitia mitandao ya kijamii.
Sambamba na kituo kimoja cha runinga nchini Uturuki kuhusu changamoto ya wafanyakazi wa Kituruki wanaoshiriki ujenzi wa reli ya SGR chini ya kampuni hiyo kutolipwa mishahara kwa zaidi ya miezi saba ikihusishwa na Serikali kushindwa kumlipa mkandarasi huyo.
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15,2023 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusinao wa Kampuni ya Yapi Merkezi, Amisa Juma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo;
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15,2023 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusinao wa Kampuni ya Yapi Merkezi, Amisa Juma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo;