DAR ES SALAAM-Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bi.Anjela Mziray anasema kuwa, "Hatujaondoa utaratibu wa kusajili watoto kwenye bima ya afya,bado Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unaendelea kuwasajili watoto kwa utaraibu wa kupitia mashule.
"Lakini pia, kwa utaratibu wa kusajiliwa pamoja na familia zao, hii tunamaanisha kwamba, hapo awali mwezi wa tatu mwaka huu wa 2023 yalitokea maboresho kidogo kwenye usajili wa watoto kwenye Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, wakati utaratibu huu wa Toto Afya kadi ulianzishwa;