Makame atembelea ZGP


Mkurugenzi wa Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame ( kushoto)akizungumza neno alipoingia katika Ofisi ya Dizaini Machapisho wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali Uchapaji (ZGP ) Maruhubi mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame (wapili kushoto)akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Raslimali watu Mipango na Utawala Salum Khamis Rashid (watatu kushoto)wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali Uchapaji(ZGP ) Maruhubi Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Raslimali watu Mipango na Utawala Salum Khamis Rashid akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali Uchapaji (ZGP) Maruhubi Mjini Zanzibar.

Rais wa Wafanyakazi wa Wakala wa Serikali Uchapaji (ZGP ) Ali Vuaa Suleiman akiuliza maswali katika ziara ya Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamadu Makame yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali Uchapaji (ZGP ) Maruhubi Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Rashid Hamdu Makame akizungumza na wafanyakazi wakati alipofanya ziara yenye lengo la kuwasikiliza Wafanyakazi na kuwapatia maelekezo ya utendaji wa kazi katika Wakala wa Serikali Uchapaji (ZGP) Maruhubi Mjini Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news