Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao cha Kujadili Mikakati ya upatikanaji wa nishati ya mafuta ya petroli nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha tarehe 11 Septemba, 2023 jijini Dodoma.