Rais Dkt.Mwinyi ashiriki dua maalum miaka 100 ya Sheikh Annadhiriy

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akijumuika na Viongozi na Waislamu katika Kisomo maalum cha kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi, Septemba 26, 2023.(Picha na Ikulu).
Baadhi ya Mashekhe na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakisoma Dua maalum ya kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu yake kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Viongozi na Waislamu mbali mbali alipojumuika katika Kisomo maalum cha kumuombea dua Sheikh Alhabyb Omar Qullatein Bin Muhammad Annadhiriy katika maadhimisho ya kumbukumbu yake kutimiza miaka 100 katika msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news