Rais Dkt.Samia ashiriki Africa Climate Summit 23


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe. Rigathi Gachagua mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa wakati wa Wimbo wa Umoja wa Afrika (AU) na ule wa Taifa wa Kenya ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya tarehe 05 Septemba, 2023 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23).
Viongozi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani wakiwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023.
Viongozi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani wakiwa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023.

Brass Band ya Polisi ya Kenya ikitumbuiza katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 23) tarehe 05 Septemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news