NA FRESHA KINASA
MBUNGE wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, anatarajia kuendesha harambee mbili za ujenzi wa Sekondari mpya mbili Jimboni humo.
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo hilo Septemba 11, 2023.
"Muda wa kutosha unatolewa ili wachangiaji wajitayarishe.Wanavijiji wenye kujenga sekondari hizi mbili wameishaanza kuchangia ujenzi wao kwa kusomba mawe, mchanga na kutengeneza matofali." imeeleza taarifa hiyo na kusema.
"Michango ya miradi yetu ya maendeleo inayobuniwa na kusimamiwa na wanavijiji wenyewe ni endelevu."
HARAMBEE
Tarehe: Jumatano, 27.9.2023
Mahali: Kisiwani Rukuba
Muda: Saa 4 Asubuhi
Sekondari: Rukuba Secondary School
Benki: NMB
Na: Akaunti/Serikali ya Kijiji
30302300701
Mawasiliano:
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji
Simu: 0748 006 050
HARAMBEE II
Tarehe: Ijumaa, 29.9.2023
Mahali: Kijijini Kurwaki
Muda: Saa 4 Asubuhi
Sekondari: David Massamba Memorial Secondary School
Benki: NMB
Na: Akaunti/Serikali ya Kijiji
30302301539
Mawasiliano:
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji
Simu: 0656 342 688
"Elimu ni kipaumbele chetu namba moja. Karibu tuchangie ujenzi na uboreshaji wq miundombinu ya elimu Musoma Vijijini."imeeleza taarifa hiyo.