Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo mkoani Dar es Salaam leo tarehe 13 Septemba, 2023.