HomeHabari Twiga Stars yawasili kutoka Ivory Coast Timu ya Taifa ya wanawake “Twiga Stars” imewasili ikitokea Ivory Coast kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa kufuzu WAFCON 2024, mchezo wa mkondo wa pili utachezwa Jumanne Septemba 26, 2023 Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Tags Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Twiga Stars Facebook Twitter