Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 18, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.26 na kuuzwa kwa shilingi 222.40 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.87 na kuuzwa kwa shilingi 130.08.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 18, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 668.37 na kuuzwa kwa shilingi 675.02 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 157.53 na kuuzwa kwa shilingi 158.92.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3044.03 na kuuzwa kwa shilingi 3075.71 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2614.92 na kuuzwa kwa shilingi 2641.56.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.60 na kuuzwa kwa shilingi 16.77 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.37 na kuuzwa kwa shilingi 340.67.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.86 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.28.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1814.92 na kuuzwa kwa shilingi 1832.53 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2737.05 na kuuzwa kwa shilingi 2763.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2454.86 na kuuzwa kwa shilingi 2479.41 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7946.59 na kuuzwa kwa shilingi 8020.86.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1583.14 na kuuzwa kwa shilingi 1600.21 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3246.31 na kuuzwa kwa shilingi 3278.77.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 18th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 668.3714 675.0184 671.6949 18-Sep-23
2 ATS 157.5285 158.9243 158.2264 18-Sep-23
3 AUD 1583.1401 1600.2112 1591.6757 18-Sep-23
4 BEF 53.7345 54.2101 53.9723 18-Sep-23
5 BIF 0.8645 0.8692 0.8669 18-Sep-23
6 CAD 1814.9205 1832.5277 1823.7241 18-Sep-23
7 CHF 2737.0514 2763.1896 2750.1205 18-Sep-23
8 CNY 337.3685 340.6719 339.0202 18-Sep-23
9 DEM 983.6364 1118.1105 1050.8735 18-Sep-23
10 DKK 350.6594 354.1256 352.3925 18-Sep-23
11 ESP 13.028 13.1429 13.0854 18-Sep-23
12 EUR 2614.9184 2641.5634 2628.2409 18-Sep-23
13 FIM 364.5689 367.7995 366.1842 18-Sep-23
14 FRF 330.4563 333.3795 331.9179 18-Sep-23
15 GBP 3044.0281 3075.7081 3059.8681 18-Sep-23
16 HKD 313.6362 316.7482 315.1922 18-Sep-23
17 INR 29.534 29.8096 29.6718 18-Sep-23
18 ITL 1.1195 1.1294 1.1245 18-Sep-23
19 JPY 16.6049 16.7675 16.6862 18-Sep-23
20 KES 16.7168 16.861 16.7889 18-Sep-23
21 KRW 1.8487 1.8641 1.8564 18-Sep-23
22 KWD 7946.5926 8020.8656 7983.7291 18-Sep-23
23 MWK 2.0992 2.2834 2.1913 18-Sep-23
24 MYR 524.3189 529.1101 526.7145 18-Sep-23
25 MZM 38.1249 38.4465 38.2857 18-Sep-23
26 NLG 983.6364 992.3594 987.9979 18-Sep-23
27 NOK 228.6463 230.8425 229.7444 18-Sep-23
28 NZD 1450.3321 1466.0751 1458.2036 18-Sep-23
29 PKR 7.8668 8.3434 8.1051 18-Sep-23
30 RWF 2.0097 2.0811 2.0454 18-Sep-23
31 SAR 654.5424 661.0526 657.7975 18-Sep-23
32 SDR 3246.3087 3278.7717 3262.5402 18-Sep-23
33 SEK 220.2618 222.4005 221.3311 18-Sep-23
34 SGD 1800.9401 1818.2825 1809.6113 18-Sep-23
35 UGX 0.6324 0.6638 0.6481 18-Sep-23
36 USD 2454.8614 2479.41 2467.1357 18-Sep-23
37 GOLD 4706433.9826 4755150.3534 4730792.168 18-Sep-23
38 ZAR 128.8742 130.0824 129.4783 18-Sep-23
39 ZMW 116.7034 119.732 118.2177 18-Sep-23
40 ZWD 0.4594 0.4686 0.464 18-Sep-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news