Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 20, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 20, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1580.35 na kuuzwa kwa shilingi 1588.71 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3242.08 na kuuzwa kwa shilingi 3274.50.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.67 na kuuzwa kwa shilingi 222.83 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.63 na kuuzwa kwa shilingi 130.89.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 669.39 na kuuzwa kwa shilingi 676.05 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 157.76 na kuuzwa kwa shilingi 159.16.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3047.61 na kuuzwa kwa shilingi 3079.08 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2627.94 na kuuzwa kwa shilingi 2655.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.63 na kuuzwa kwa shilingi 16.79 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.20 na kuuzwa kwa shilingi 340.49.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.87 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.20.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1836.38 na kuuzwa kwa shilingi 1854.05 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2741.16 na kuuzwa kwa shilingi 2767.33.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2458.54 na kuuzwa kwa shilingi 2483.13 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7962.38 na kuuzwa kwa shilingi 8039.40.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 20th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 669.3924 676.0496 672.721 20-Sep-23
2 ATS 157.7649 159.1628 158.4638 20-Sep-23
3 AUD 1588.7115 1604.8469 1596.7792 20-Sep-23
4 BEF 53.8151 54.2915 54.0533 20-Sep-23
5 BIF 0.8646 0.8707 0.8677 20-Sep-23
6 BWP 179.4738 182.0134 180.7436 20-Sep-23
7 CAD 1836.3793 1854.0506 1845.2149 20-Sep-23
8 CHF 2741.1579 2767.3353 2754.2466 20-Sep-23
9 CNY 337.2027 340.4953 338.849 20-Sep-23
10 CUC 41.0463 46.6578 43.8521 20-Sep-23
11 DEM 985.1122 1119.788 1052.4501 20-Sep-23
12 DKK 352.6109 356.1064 354.3587 20-Sep-23
13 DZD 19.2629 19.2479 19.2554 20-Sep-23
14 ESP 13.0475 13.1626 13.1051 20-Sep-23
15 EUR 2627.9383 2655.2109 2641.5746 20-Sep-23
16 FIM 365.1159 368.3513 366.7336 20-Sep-23
17 FRF 330.9522 333.8797 332.4159 20-Sep-23
18 GBP 3047.6118 3079.0812 3063.3465 20-Sep-23
19 HKD 314.4683 317.5764 316.0224 20-Sep-23
20 INR 29.5381 29.8238 29.681 20-Sep-23
21 IQD 0.2529 0.2548 0.2538 20-Sep-23
22 IRR 0.0087 0.0088 0.0087 20-Sep-23
23 ITL 1.1212 1.1311 1.1261 20-Sep-23
24 JPY 16.6343 16.7995 16.7169 20-Sep-23
25 KES 16.7248 16.8691 16.7969 20-Sep-23
26 KRW 1.8519 1.8696 1.8608 20-Sep-23
27 KWD 7962.3816 8039.4017 8000.8916 20-Sep-23
28 MWK 2.0475 2.2038 2.1256 20-Sep-23
29 MYR 523.7632 528.5504 526.1568 20-Sep-23
30 MZM 38.1643 38.4862 38.3253 20-Sep-23
31 NAD 96.8427 97.7359 97.2893 20-Sep-23
32 NLG 985.1122 993.8483 989.4803 20-Sep-23
33 NOK 228.5211 230.7206 229.6208 20-Sep-23
34 NZD 1459.1462 1473.986 1466.5661 20-Sep-23
35 PKR 7.9281 8.4202 8.1742 20-Sep-23
36 QAR 836.1075 844.5094 840.3084 20-Sep-23
37 RWF 2.0353 2.0866 2.0609 20-Sep-23
38 SAR 655.507 662.0268 658.7669 20-Sep-23
39 SDR 3242.0827 3274.5035 3258.2931 20-Sep-23
40 SEK 220.6734 222.8261 221.7498 20-Sep-23
41 SGD 1803.5098 1820.877 1812.1934 20-Sep-23
42 TRY 90.9565 91.8446 91.4006 20-Sep-23
43 UGX 0.6314 0.6625 0.647 20-Sep-23
44 USD 2458.5446 2483.13 2470.8373 20-Sep-23
45 GOLD 4757750.8363 4805849.802 4781800.3192 20-Sep-23
46 ZAR 129.627 130.8888 130.2579 20-Sep-23
47 ZMK 115.2072 119.6689 117.438 20-Sep-23
48 ZWD 0.4601 0.4694 0.4647 20-Sep-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news