NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2466.60 na kuuzwa kwa shilingi 2491.27 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7986.41 na kuuzwa kwa shilingi 8058.45.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 25, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1834.18 na kuuzwa kwa shilingi 1851.83 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2724.02 na kuuzwa kwa shilingi 2750.96.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1592.93 na kuuzwa kwa shilingi 1609.36 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3247.53 na kuuzwa kwa shilingi 3280.01.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 221.28 na kuuzwa kwa shilingi 223.43 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.71 na kuuzwa kwa shilingi 132.98.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 671.68 na kuuzwa kwa shilingi 678.21 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.28 na kuuzwa kwa shilingi 159.68.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3023.81 na kuuzwa kwa shilingi 3055.04 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2626.93 na kuuzwa kwa shilingi 2654.19.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.6 na kuuzwa kwa shilingi 16.8 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.74 na kuuzwa kwa shilingi 341.05.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.73 na kuuzwa kwa shilingi 16.88 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.10 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 25th, 2023 according to Central Bank (BoT);

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 671.6783 | 678.2103 | 674.9443 | 25-Sep-23 |
2 | ATS | 158.2821 | 159.6845 | 158.9833 | 25-Sep-23 |
3 | AUD | 1592.9328 | 1609.3604 | 1601.1466 | 25-Sep-23 |
4 | BEF | 53.9915 | 54.4695 | 54.2305 | 25-Sep-23 |
5 | BIF | 0.8663 | 0.8742 | 0.8703 | 25-Sep-23 |
6 | CAD | 1834.1791 | 1851.8323 | 1843.0057 | 25-Sep-23 |
7 | CHF | 2724.0243 | 2750.9607 | 2737.4925 | 25-Sep-23 |
8 | CNY | 337.7383 | 341.0503 | 339.3943 | 25-Sep-23 |
9 | DEM | 988.3415 | 1123.4589 | 1055.9002 | 25-Sep-23 |
10 | DKK | 352.4174 | 355.9008 | 354.1591 | 25-Sep-23 |
11 | ESP | 13.0903 | 13.2058 | 13.148 | 25-Sep-23 |
12 | EUR | 2626.9332 | 2654.199 | 2640.5661 | 25-Sep-23 |
13 | FIM | 366.3128 | 369.5588 | 367.9358 | 25-Sep-23 |
14 | FRF | 332.0371 | 334.9741 | 333.5056 | 25-Sep-23 |
15 | GBP | 3023.8098 | 3055.0444 | 3039.4271 | 25-Sep-23 |
16 | HKD | 315.4145 | 318.5645 | 316.9895 | 25-Sep-23 |
17 | INR | 29.7525 | 30.0301 | 29.8913 | 25-Sep-23 |
18 | ITL | 1.1249 | 1.1348 | 1.1298 | 25-Sep-23 |
19 | JPY | 16.637 | 16.8 | 16.7185 | 25-Sep-23 |
20 | KES | 16.7341 | 16.8785 | 16.8063 | 25-Sep-23 |
21 | KRW | 1.8514 | 1.8688 | 1.8601 | 25-Sep-23 |
22 | KWD | 7986.414 | 8058.4506 | 8022.4323 | 25-Sep-23 |
23 | MWK | 2.1046 | 2.2892 | 2.1969 | 25-Sep-23 |
24 | MYR | 526.4896 | 531.1876 | 528.8386 | 25-Sep-23 |
25 | MZM | 38.3489 | 38.6723 | 38.5106 | 25-Sep-23 |
26 | NLG | 988.3415 | 997.1063 | 992.7239 | 25-Sep-23 |
27 | NOK | 229.9671 | 232.1975 | 231.0823 | 25-Sep-23 |
28 | NZD | 1474.0426 | 1490.0286 | 1482.0356 | 25-Sep-23 |
29 | PKR | 8.1861 | 8.5831 | 8.3846 | 25-Sep-23 |
30 | RWF | 2.0363 | 2.0859 | 2.0611 | 25-Sep-23 |
31 | SAR | 657.6208 | 664.1616 | 660.8912 | 25-Sep-23 |
32 | SDR | 3247.5307 | 3280.0061 | 3263.7684 | 25-Sep-23 |
33 | SEK | 221.2776 | 223.4303 | 222.354 | 25-Sep-23 |
34 | SGD | 1808.4933 | 1826.1765 | 1817.3349 | 25-Sep-23 |
35 | UGX | 0.6315 | 0.6626 | 0.647 | 25-Sep-23 |
36 | USD | 2466.604 | 2491.27 | 2478.937 | 25-Sep-23 |
37 | GOLD | 4751903.403 | 4802915.945 | 4777409.674 | 25-Sep-23 |
38 | ZAR | 131.7159 | 132.9819 | 132.3489 | 25-Sep-23 |
39 | ZMW | 114.4787 | 118.915 | 116.6969 | 25-Sep-23 |
40 | ZWD | 0.4615 | 0.4709 | 0.4662 | 25-Sep-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania