Majambazi walionipora gari wajisalimisha polisi wenyewe!

NA MWANDISHI WETU

VISA vya wizi wa magari vimekuwa vikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali nchini Kenya, kila wiki utasikia habari kwenye chombo cha habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa magari.

Ni hivi majuzi niliweza kukumbana na wizi huo baada ya gari langu aina ya Harrier kuporwa na majambazi, hiyo ni baada ya hivi majuzi tu moja wa rafiki zangu naye kuibiwa gari lake katika barabara kuu ya Thika.

Aliweza kuripoti kisa hicho katika kituo cha Polisi cha Kamukunji, lakini hadi kufikia sasa hakuna mtu yeyote amenaswa kufuatia wizi huo, ni jambo la kuumiza sana.

Kabla ya kutokea, niliweza kushuhudia kisa hicho ndotoni, niliota kuwa majambazi wawili waliokua wamejihami kwa silaa waliweza kunisimamisha barabarani na kudai kuwa ni maafisa wa trafiki.

Kumbe yalikua madai ya uongo, waliweza kunifunga pingu, na kunipokonya gari langu na kutoweka.

Ndoto hiyo iliweza kunipa kiwewe kila wakati nikiwa katika shughuli zangu za usafirisaji abiria (taxi), niliweza kutilia maanani sheria za barabarani nisije nikasimamishwa na trafiki.

Siku za Ijumaa biashara huwa imechangamka sana hasa usiku kutokana watu wengi hutoka kwenda kwenye starehe zao, hivyo hufanya kazi hadi usiku wa manane.

Ilipofika saa tano usiku, nilipokua nimeegesha gari langu, ghafla walikuja wanaume wawili na kutaka kusafirishwa kwenda Kahawa Magharibi takribani kilomita 10 kutoka katikati mwa jiji la Nairobi, nilikubali kwani waliweza kulipa bei niliyowatajia.

Baada ya mwendo wa kilomita tatu hivi, wanaume hao walianza kuzungumza lugha ambayo sikuweza kuielewa pamoja na kupiga simu kila wakati.

Tulipofika eneo la Ndonyo, wawili hao walidai kuwa wanahitaji kukojoa kando ya barabara hivyo nikasimamisha gari, lakini ghafla walinivamia wakiwa na visu pamoja na bastola na kunipora gari langu kisha kutokomea nalo.

Niliripoti kisa hicho kituo cha Polisi cha Kahawa lakini sikufanikiwa kulipata gari hilo, niliishi maisha magumu sana kwa wakati huo maana sikuwa na kazi wala gari.

Siku moja nikiwa kwenye mitandao nilikumbana na tovuti hii; www.african-doctors.com baada ya kuipitia nilifahamu kuwa walikua na uwezo wa kuipata mali iliyopotea au kuibiwa, bila kusita niliichukua namba yao na kuwapigia simu.

Nilimueleza African Doctors yote yaliyotokea kuhusu gari langu na alinipa ahadi kuwa baada siku mbili hivi majambazi hao watalirejesha gari hilo wao wenyewe.

Kweli baada ya siku mbili afisa wa Polisi kutoka Kahawa alinipigia simu na kuniarifu niende kuchukua gari langu kwani majambazi hao walijisalimisha wenyewe pamoja na gari hilo.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news