Meja Jenerali Charles Mbuge aagwa Ofisi ya Waziri Mkuu


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi (kushoto) akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.Ameagana naye tarehe 04 Oktoba 2023 katika Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kushoto) Pamoja na Naibu wake Bw. Anderson Mutatembwa (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (katikati) mara baada ya mazungumzo yao ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Anderson Mutatembwa akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi katika ofisi hiyo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi (wanne kutoka kushoto) Naibu wake, Bw. Anderson Mutatembwa (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi hiyo Meja Jenerali Charles Mbuge (wanne kutoka kulia) tarehe 04 Oktoba 2023 katika ofisi yake jijini Dodoma.(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news