Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Hamis Nderiananga-kushoto, akipata maelezo kuhusu shughuli za majanga zinazifanywa nchini Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF), Dkt. Ann Mumina kulia katika maadhimisho ya Siku ya kupunguza majanga duniani jijini Dodoma iliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa.