SONGWE-Mtoto Dicksoni Aloyce Kapungu pichani mwenye umri wa miaka 12 wa kiume na mkazi wa Mwakakati Tunduma mkoani Songwe amepotea huko Laela Sumbwanga alikoenda kusalimia ndugu akiwa ameambatana na Mama yake.

Kwa atakayemuona tafadhali mpeleke Kituo cha Polisi au Ofisi ya Serikali ya Mtaa.
Kwa mawasiliano piga:
0748221855.
0622 010846.
0756223016.
Kwa kuwa mtoto ni mgeni wa Laela anaweza kuelekea barabara ya Sumbawanga au Tunduma
Tunaomba ushirikiano wako