Mume alikuwa anakula tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku

NA MWANDISHI WETU

langu ni Anna, tulifunga ndoa na mume wangu Ben, kwa hakika maisha yalikuwa mazuri, kwani alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali, katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye anajali sana.

Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu pole pole alianza kuwa mwenye dharau nisijue ni lipi zuri ambalo sikufanya kwake, alianza kuja nyumbani akiwa amenuna na hata wakati mwingine hakuzungumza na mimi.

Kila wakati alifika nyumbani na kujitupa kwenye kochi bila hata ya kuzungumza chochote, suala lililonitia wasiwasi kama mke. Akilini nilijiambia labda alikuwa keshapata mrembo mwingine ambaye alikuwa ndiye mpango wa kando.

Lakini ni vipi mpango wa kando wake alikuwa na mapenzi kuliko mimi ambaye nilimuelewa mume wangu? Nilifanya uchunguzi wala sikubaini chochote ambacho mume wangu alikuwa akikasirikia kila mara.

Pesa alikuwa nazo, na mimi pia nilimsaidia kukimu majukumu kadhaa ya nyumbani kwani nilikuwa na kazi wakati ule, kila nilipotaka mazungumzo naye alikataa na kusema kwamba kila kitu kilikuwa sawa na hakuna jambo lolote lilikuwa limeharibika.

Siku zilienda akiwa bado amenuna na sikuwa tayari kuishi katika ndoa ile, nilimwambia rafiki yangu Agy suala lile na hapo akanieleza kwamba angeweza kunisaidia katika hali yoyote ile.

Alinielekeza kwa African Doctor kwani yeye pia aliwahi kukumbana na changamoto kama yangu, basi niliweza kufika ofisni kwa African Doctors na kuzungumza naye, baada ya tiba akanipa hakikisho kila kitu kilikuwa mikononi mwake na kwamba hali ingerudi kuwa shwari kabisa.

Basi hali ya uchangamfu ilirejea kwenye familia yetu na sasa naishi vizuri na mume wangu na tayari tumejaliwa watoto wanne na maisha mengine yanaendelea.

Kando na hapo awali tulipokuwa tunafanya tendo la ndoa kwa siku moja kwa wiki, lakini sasa kila siku tunashiriki. Ama kwa hakika African Doctor ni mtu wa kutatua shida za watu. Tangu siku ile, mume wangu alikuwa mwenye furaha hata zaidi. Tuliishi maisha ya amani na yenye furaha.

African Doctor anatibu magonjwa ya zinaa kama vile kisonono, kaswendee na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee. Ana uwezo wa kukuwezesha kupata kazi yako amabayo umekuwa ukiitamania kwa muda mrefu. Ni mtu ambaye amebobea katika suala zima la tiba za kiasilia.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news