Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na viongozi Oktoba 10, 2023 alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi kufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto -SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma kwa Niaba ya Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mhe.Tabia Maulid Mwita(katikati) wakifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa(kushoto) na Rais wa SABA Bw.Stanley Benjamin Similo kuelekea Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi,alipowasili kuufungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)alipokuwa akiufungua mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) utakaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia)alipokuwa akimkabidhi cheti Meneja Masoko wa Benki ya PBZ,Seif Suleiman Mohamed katika mkutano mkuu wa 30 wa vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) unaofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea tunzo maalum kutoka kwa Rais wa SABA,Stanley Benjamin Similo katika mkutano Mkuu wa 30 wa Vyombo vya Utangazaji vya Umma Kusini mwa Afrika (SABA) mara baada ya kuufungua leo katika ukumbi waHoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Mkoa wa Mjini Magharibi.