Rais Dkt.Mwinyi akagua mradi ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa cha “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama”,akiwa katika ziara yake kukagua mradi huo unaojengwa katika eneo la Kama na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame,Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO), Dkt.Ameir Haidar Mshenga (kushoto) akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa cha Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village huko Wilaya ya Magharibi “A” Unguja , akiwa katika ziara yake kukagua mradi huo na kuona maendeleo ya ujenzi wake.Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa Kama “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama” na Wananchi wa Kama wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi akiwa katika ziara yake kukagua mradi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO), Dkt.Ameir Haidar Mshenga, akitoa maelezo ya jiko la kusarifu dagaa wakati wa ziara yake kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama” Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame, Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na Mkuu wa JKU Kanali Makame Abdalla Daima.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wananchi wa eneo la Kama Wilaya ya Magharibi ”A” Unguja kunakojengwa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa, alipofanya ziara kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news