Rais Dkt.Mwinyi amtembelea mwanahabari Haji Ramadhan Suweid na wazee CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kumuombea mwandishi wa habari mwandamizi mstaafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ( ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar,Haji Ramadhan Suweid, ikisomwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume,alipofika Hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake,leo Oktoba 13, 2023. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia mwandishi wa habari mwandamizi mstaafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Kanda ya Zanzibar,Haji Ramadhan Suweid alipofika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar jengo la Mapinduzi Mpya kumjulia hali yake leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake leo ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea wazee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Tawi la Muembeshauri na Balozi No.2 wa CCM, Bi.Hiyari Miraji Othman, alipofika nyumbani kwake Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo kumjulia hali yake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news