
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake, Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe.Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.