DAR ES SALAAM-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Richard Rwanyakaato Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Kabla ya uteuzi huo, Kiiza alikuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA);

Kabla ya uteuzi huo, Kiiza alikuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA);