Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 10, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.41 na kuuzwa kwa shilingi 2494.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7987.50 na kuuzwa kwa shilingi 8064.77.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 10, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1809.63 na kuuzwa kwa shilingi 1827.19 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2718.72 na kuuzwa kwa shilingi 2744.70.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1571.78 na kuuzwa kwa shilingi 1588.75 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3240.12 na kuuzwa kwa shilingi 3272.52.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.18 na kuuzwa kwa shilingi 226.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.27 na kuuzwa kwa shilingi 128.49.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.42 na kuuzwa kwa shilingi 678.95 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.46 na kuuzwa kwa shilingi 159.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3008.24 na kuuzwa kwa shilingi 3039.32 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2601.03 na kuuzwa kwa shilingi 2628.04.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.57 na kuuzwa kwa shilingi 16.73 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.73 na kuuzwa kwa shilingi 342.02.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.59 na kuuzwa kwa shilingi 16.76 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 10th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 672.4257 678.9465 675.6861 10-Oct-23
2 ATS 158.4625 159.8665 159.1645 10-Oct-23
3 AUD 1571.7832 1588.7481 1580.2656 10-Oct-23
4 BEF 54.0531 54.5315 54.2923 10-Oct-23
5 BIF 0.8666 0.8745 0.8705 10-Oct-23
6 CAD 1809.6262 1827.1868 1818.4065 10-Oct-23
7 CHF 2718.7227 2744.7013 2731.712 10-Oct-23
8 CNY 338.7262 342.0196 340.3729 10-Oct-23
9 DEM 989.4682 1124.7396 1057.1039 10-Oct-23
10 DKK 348.8911 352.3451 350.6181 10-Oct-23
11 ESP 13.1052 13.2208 13.163 10-Oct-23
12 EUR 2601.0357 2628.0437 2614.5397 10-Oct-23
13 FIM 366.7304 369.9802 368.3553 10-Oct-23
14 FRF 332.4156 335.356 333.8858 10-Oct-23
15 GBP 3008.2424 3039.3224 3023.7824 10-Oct-23
16 HKD 315.407 318.5488 316.9779 10-Oct-23
17 INR 29.6502 29.927 29.7886 10-Oct-23
18 ITL 1.1261 1.1361 1.1311 10-Oct-23
19 JPY 16.5677 16.73 16.6489 10-Oct-23
20 KES 16.5955 16.739 16.6673 10-Oct-23
21 KRW 1.8282 1.8424 1.8353 10-Oct-23
22 KWD 7987.5011 8064.7675 8026.1343 10-Oct-23
23 MWK 1.9747 2.1491 2.0619 10-Oct-23
24 MYR 522.1856 526.7392 524.4624 10-Oct-23
25 MZM 38.3867 38.7103 38.5485 10-Oct-23
26 NLG 989.4682 998.2429 993.8556 10-Oct-23
27 NOK 226.7558 228.9518 227.8538 10-Oct-23
28 NZD 1477.2045 1493.2237 1485.2141 10-Oct-23
29 PKR 8.3337 8.8507 8.5922 10-Oct-23
30 RWF 2.0133 2.0621 2.0377 10-Oct-23
31 SAR 658.3705 664.9187 661.6446 10-Oct-23
32 SDR 3240.1205 3272.5217 3256.3211 10-Oct-23
33 SEK 224.1805 226.3689 225.2747 10-Oct-23
34 SGD 1804.6009 1821.9811 1813.291 10-Oct-23
35 UGX 0.6339 0.6651 0.6495 10-Oct-23
36 USD 2469.4158 2494.11 2481.7629 10-Oct-23
37 GOLD 4562887.8155 4610187.7473 4586537.7814 10-Oct-23
38 ZAR 127.2705 128.4889 127.8797 10-Oct-23
39 ZMW 111.6706 116.0051 113.8378 10-Oct-23
40 ZWD 0.4621 0.4715 0.4668 10-Oct-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news