Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 17, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2608.58 na kuuzwa kwa shilingi 2635.66.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 17, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.56 na kuuzwa kwa shilingi 16.72 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.54 na kuuzwa kwa shilingi 341.84.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.59 na kuuzwa kwa shilingi 16.73 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2474.93 na kuuzwa kwa shilingi 2499.68 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8002.75 na kuuzwa kwa shilingi 8080.16.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1817.93 na kuuzwa kwa shilingi 1835.97 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2747.17 na kuuzwa kwa shilingi 2773.42.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1566.63 na kuuzwa kwa shilingi 1582.79 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3241.91 na kuuzwa kwa shilingi 3274.33.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.19 na kuuzwa kwa shilingi 228.41 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.55 na kuuzwa kwa shilingi 132.84.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 673.85 na kuuzwa kwa shilingi 680.49 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.82 na kuuzwa kwa shilingi 160.22.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3013.47 na kuuzwa kwa shilingi 3043.86 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 17th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 673.854 680.4998 677.1769 17-Oct-23
2 ATS 158.8164 160.2236 159.52 17-Oct-23
3 AUD 1566.6311 1582.7974 1574.7143 17-Oct-23
4 BEF 54.1738 54.6534 54.4136 17-Oct-23
5 BIF 0.8682 0.8761 0.8722 17-Oct-23
6 CAD 1817.9306 1835.975 1826.9528 17-Oct-23
7 CHF 2747.1758 2773.4162 2760.296 17-Oct-23
8 CNY 338.54 341.8412 340.1906 17-Oct-23
9 DEM 991.678 1127.2514 1059.4647 17-Oct-23
10 DKK 349.7938 353.2418 351.5178 17-Oct-23
11 ESP 13.1345 13.2504 13.1924 17-Oct-23
12 EUR 2608.577 2635.6626 2622.1198 17-Oct-23
13 FIM 367.5494 370.8064 369.1779 17-Oct-23
14 FRF 333.158 336.105 334.6315 17-Oct-23
15 GBP 3013.4756 3043.8604 3028.668 17-Oct-23
16 HKD 316.6007 319.7421 318.1714 17-Oct-23
17 INR 29.7349 30.0125 29.8737 17-Oct-23
18 ITL 1.1286 1.1386 1.1336 17-Oct-23
19 JPY 16.5603 16.7247 16.6425 17-Oct-23
20 KES 16.588 16.7315 16.6597 17-Oct-23
21 KRW 1.8296 1.8474 1.8385 17-Oct-23
22 KWD 8002.7507 8080.1655 8041.4581 17-Oct-23
23 MWK 1.9732 2.1476 2.0604 17-Oct-23
24 MYR 522.7991 527.5813 525.1902 17-Oct-23
25 MZM 38.4784 38.8028 38.6406 17-Oct-23
26 NLG 991.678 1000.4723 996.0751 17-Oct-23
27 NOK 226.8456 229.0448 227.9452 17-Oct-23
28 NZD 1465.6539 1481.5603 1473.6071 17-Oct-23
29 PKR 8.6638 9.0772 8.8705 17-Oct-23
30 RWF 2.0146 2.0632 2.0389 17-Oct-23
31 SAR 659.8232 666.3858 663.1045 17-Oct-23
32 SDR 3241.9117 3274.3309 3258.1213 17-Oct-23
33 SEK 226.1987 228.4127 227.3057 17-Oct-23
34 SGD 1808.3667 1826.3169 1817.3418 17-Oct-23
35 UGX 0.6344 0.6657 0.6501 17-Oct-23
36 USD 2474.9306 2499.68 2487.3053 17-Oct-23
37 GOLD 4746174.59 4797635.824 4771905.207 17-Oct-23
38 ZAR 131.5472 132.8444 132.1958 17-Oct-23
39 ZMW 112.9733 117.3559 115.1646 17-Oct-23
40 ZWD 0.4631 0.4725 0.4678 17-Oct-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news