Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 5, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.08 na kuuzwa kwa shilingi 226.26 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.32 na kuuzwa kwa shilingi 129.58.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 5, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.33 na kuuzwa kwa shilingi 679.02 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.46 na kuuzwa kwa shilingi 159.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3000.34 na kuuzwa kwa shilingi 3030.59 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2595.60 na kuuzwa kwa shilingi 2622.56.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.58 na kuuzwa kwa shilingi 16.74 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.23 na kuuzwa kwa shilingi 341.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.63 na kuuzwa kwa shilingi 16.77 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.41 na kuuzwa kwa shilingi 2494.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7985.43 na kuuzwa kwa shilingi 8062.68.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.52 na kuuzwa kwa shilingi 1817.99 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2694.69 na kuuzwa kwa shilingi 2720.45.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1562.39 na kuuzwa kwa shilingi 1578.27 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3227.77 na kuuzwa kwa shilingi 3260.05.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 5th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED672.3341679.0205675.677305-Oct-23
2ATS158.4625159.8665159.164505-Oct-23
3AUD1562.39941578.27281570.336105-Oct-23
4BEF54.053154.531554.292305-Oct-23
5BIF0.86810.87450.871305-Oct-23
6CAD1800.52191817.99691809.259405-Oct-23
7CHF2694.69212720.45152707.571805-Oct-23
8CNY338.2298341.5654339.897605-Oct-23
9DEM989.46821124.73961057.103905-Oct-23
10DKK348.0795351.5257349.802605-Oct-23
11ESP13.105213.220813.16305-Oct-23
12EUR2595.6032622.55662609.079805-Oct-23
13FIM366.7304369.9802368.355305-Oct-23
14FRF332.4156335.356333.885805-Oct-23
15GBP3000.34033030.59313015.466705-Oct-23
16HKD315.3989318.5489316.973905-Oct-23
17INR29.667529.958129.812805-Oct-23
18ITL1.12611.13611.131105-Oct-23
19JPY16.576616.740116.658405-Oct-23
20KES16.629116.772816.700905-Oct-23
21KRW1.82541.8431.834205-Oct-23
22KWD7985.43488062.68188024.058305-Oct-23
23MWK1.9682.1422.05505-Oct-23
24MYR522.1856526.9618524.573705-Oct-23
25MZM38.392638.716438.554505-Oct-23
26NLG989.4682998.2429993.855605-Oct-23
27NOK225.3919227.5689226.480405-Oct-23
28NZD1458.6841473.52021466.102105-Oct-23
29PKR8.24588.75748.501605-Oct-23
30RWF2.00772.06572.036705-Oct-23
31SAR658.4231664.9719661.697505-Oct-23
32SDR3227.77343260.05123243.912305-Oct-23
33SEK224.0829226.2642225.173505-Oct-23
34SGD1801.44141819.3231810.382205-Oct-23
35UGX0.63470.6660.650305-Oct-23
36USD2469.41582494.112481.762905-Oct-23
37GOLD4508906.38524556738.974532822.677605-Oct-23
38ZAR128.316129.5762128.946105-Oct-23
39ZMW112.6686117.0394114.85405-Oct-23
40ZWD0.46210.47150.466805-Oct-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news