Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 6, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1564.37 na kuuzwa kwa shilingi 1581.26 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3233.21 na kuuzwa kwa shilingi 3265.54.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 6, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.75 na kuuzwa kwa shilingi 225.93 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.04 na kuuzwa kwa shilingi 127.25.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.42 na kuuzwa kwa shilingi 678.94 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.46 na kuuzwa kwa shilingi 159.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2995.40 na kuuzwa kwa shilingi 3026.60 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.02 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2596.09 na kuuzwa kwa shilingi 2622.56.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.57 na kuuzwa kwa shilingi 16.73 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.23 na kuuzwa kwa shilingi 341.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.62 na kuuzwa kwa shilingi 16.76 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.41 na kuuzwa kwa shilingi 2494.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7982.59 na kuuzwa kwa shilingi 8059.81.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1795.02 na kuuzwa kwa shilingi 1812.45 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2695.87 na kuuzwa kwa shilingi 2721.64.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 6th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 672.4257 678.9465 675.6861 06-Oct-23
2 ATS 158.4625 159.8665 159.1645 06-Oct-23
3 AUD 1564.3749 1581.2657 1572.8203 06-Oct-23
4 BEF 54.0531 54.5315 54.2923 06-Oct-23
5 BIF 0.8686 0.8744 0.8715 06-Oct-23
6 CAD 1795.025 1812.4482 1803.7366 06-Oct-23
7 CHF 2695.8688 2721.639 2708.7539 06-Oct-23
8 CNY 338.2298 341.5654 339.8976 06-Oct-23
9 DEM 989.4682 1124.7396 1057.1039 06-Oct-23
10 DKK 348.1581 351.5901 349.8741 06-Oct-23
11 ESP 13.1052 13.2208 13.163 06-Oct-23
12 EUR 2596.0969 2622.5567 2609.3268 06-Oct-23
13 FIM 366.7304 369.9802 368.3553 06-Oct-23
14 FRF 332.4156 335.356 333.8858 06-Oct-23
15 GBP 2995.4015 3026.6025 3011.002 06-Oct-23
16 HKD 315.403 318.5326 316.9678 06-Oct-23
17 INR 29.6591 29.9499 29.8045 06-Oct-23
18 ITL 1.1261 1.1361 1.1311 06-Oct-23
19 JPY 16.5699 16.7323 16.6511 06-Oct-23
20 KES 16.6179 16.7615 16.6897 06-Oct-23
21 KRW 1.8291 1.8467 1.8379 06-Oct-23
22 KWD 7982.5952 8059.8158 8021.2055 06-Oct-23
23 MWK 1.9681 2.1421 2.0551 06-Oct-23
24 MYR 522.6277 527.2959 524.9618 06-Oct-23
25 MZM 38.333 38.6564 38.4947 06-Oct-23
26 NLG 989.4682 998.2429 993.8556 06-Oct-23
27 NOK 224.4066 226.5272 225.4669 06-Oct-23
28 NZD 1463.8697 1479.5061 1471.6879 06-Oct-23
29 PKR 8.4271 8.8325 8.6298 06-Oct-23
30 RWF 2.0173 2.0717 2.0445 06-Oct-23
31 SAR 658.4231 664.9719 661.6975 06-Oct-23
32 SDR 3233.2062 3265.5382 3249.3722 06-Oct-23
33 SEK 223.7519 225.928 224.84 06-Oct-23
34 SGD 1801.31 1818.7924 1810.0512 06-Oct-23
35 UGX 0.6339 0.6651 0.6495 06-Oct-23
36 USD 2469.4158 2494.11 2481.7629 06-Oct-23
37 GOLD 4492447.7286 4539692.4764 4516070.1025 06-Oct-23
38 ZAR 126.0434 127.2544 126.6489 06-Oct-23
39 ZMW 112.7216 117.0944 114.908 06-Oct-23
40 ZWD 0.4621 0.4715 0.4668 06-Oct-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news