Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 9, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1799.60 na kuuzwa kwa shilingi 1817.07 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2707.09 na kuuzwa kwa shilingi 2732.97.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 9, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1570.05 na kuuzwa kwa shilingi 1586.25 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3235.18 na kuuzwa kwa shilingi 3267.53.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.65 na kuuzwa kwa shilingi 226.87 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.18 na kuuzwa kwa shilingi 128.42.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.33 na kuuzwa kwa shilingi 679.00 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.46 na kuuzwa kwa shilingi 159.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3013.18 na kuuzwa kwa shilingi 3044.56 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2606.47 na kuuzwa kwa shilingi 2633.53.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.57 na kuuzwa kwa shilingi 16.73 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.23 na kuuzwa kwa shilingi 341.56.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.61 na kuuzwa kwa shilingi 16.75 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.14.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.41 na kuuzwa kwa shilingi 2494.11 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7986.73 na kuuzwa kwa shilingi 8063.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 9th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 672.3341 679.0019 675.668 09-Oct-23
2 ATS 158.4625 159.8665 159.1645 09-Oct-23
3 AUD 1570.0546 1586.254 1578.1543 09-Oct-23
4 BEF 54.0531 54.5315 54.2923 09-Oct-23
5 BIF 0.867 0.8738 0.8704 09-Oct-23
6 CAD 1799.6034 1817.0698 1808.3366 09-Oct-23
7 CHF 2707.0991 2732.9717 2720.0354 09-Oct-23
8 CNY 338.2298 341.5654 339.8976 09-Oct-23
9 DEM 989.4682 1124.7396 1057.1039 09-Oct-23
10 DKK 349.6122 353.0584 351.3353 09-Oct-23
11 ESP 13.1052 13.2208 13.163 09-Oct-23
12 EUR 2606.4684 2633.5308 2619.9996 09-Oct-23
13 FIM 366.7304 369.9802 368.3553 09-Oct-23
14 FRF 332.4156 335.356 333.8858 09-Oct-23
15 GBP 3013.1812 3044.56 3028.8706 09-Oct-23
16 HKD 315.3063 318.4513 316.8788 09-Oct-23
17 INR 29.7012 29.9784 29.8398 09-Oct-23
18 ITL 1.1261 1.1361 1.1311 09-Oct-23
19 JPY 16.5688 16.7334 16.6511 09-Oct-23
20 KES 16.6067 16.7502 16.6785 09-Oct-23
21 KRW 1.833 1.8506 1.8418 09-Oct-23
22 KWD 7986.7261 8063.9853 8025.3557 09-Oct-23
23 MWK 1.968 2.142 2.055 09-Oct-23
24 MYR 524.2922 528.7492 526.5207 09-Oct-23
25 MZM 38.2736 38.5966 38.4351 09-Oct-23
26 NLG 989.4682 998.2429 993.8556 09-Oct-23
27 NOK 224.7805 226.9581 225.8693 09-Oct-23
28 NZD 1472.2657 1488.2355 1480.2506 09-Oct-23
29 PKR 8.4713 8.8781 8.6747 09-Oct-23
30 RWF 2.0127 2.0645 2.0386 09-Oct-23
31 SAR 658.4231 664.9719 661.6975 09-Oct-23
32 SDR 3235.1817 3267.5335 3251.3576 09-Oct-23
33 SEK 224.6557 226.8734 225.7646 09-Oct-23
34 SGD 1806.8456 1824.2466 1815.5461 09-Oct-23
35 UGX 0.6337 0.6649 0.6493 09-Oct-23
36 USD 2469.4158 2494.11 2481.7629 09-Oct-23
37 GOLD 4495818.4816 4543769.5984 4519794.04 09-Oct-23
38 ZAR 127.178 128.424 127.801 09-Oct-23
39 ZMW 112.457 116.8201 114.6386 09-Oct-23
40 ZWD 0.4621 0.4715 0.4668 09-Oct-23


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news