Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akiwa na Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa wamekutana na Ujumbe wa wawekezaji kutoka Ujerumani kujadili mambo mbalimbali ya uwekezaji katika maswala ya Uchukuzi hapa nchini, Ujume huo wa Ujerumani Umeongozwa na Makamu wa Waziri wa Uchumi na Mazingira Michael Kellner, Mkutano huo umefanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Tags
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Ujenzi na Uchukuzi
Wizara ya Uchukuzi Tanzania
Wizara ya Ujenzi Tanzania