Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 14,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3001.59 na kuuzwa kwa shilingi 3032.86 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.07.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2475 na kuuzwa kwa shilingi 2487.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8014.64 na kuuzwa kwa shilingi 8092.16.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 14, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1790.75 na kuuzwa kwa shilingi 1808.14 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2735.71 na kuuzwa kwa shilingi 2761.85.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3029.40 na kuuzwa kwa shilingi 3060.69 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1577.32 na kuuzwa kwa shilingi 1593.59 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3251.80 na kuuzwa kwa shilingi 3284.32.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.43 na kuuzwa kwa shilingi 229.66 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.08 na kuuzwa kwa shilingi 133.29.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 673.87 na kuuzwa kwa shilingi 680.56 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.82 na kuuzwa kwa shilingi 160.23.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3029.40 na kuuzwa kwa shilingi 3060.69 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.0.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2640.82 na kuuzwa kwa shilingi 2668.23.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.30 na kuuzwa kwa shilingi 16.46 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.48 na kuuzwa kwa shilingi 342.84.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.33 na kuuzwa kwa shilingi 16.47 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.47.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 14th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 673.8728 680.556 677.2144 14-Nov-23
2 ATS 158.8208 160.228 159.5244 14-Nov-23
3 AUD 1577.3175 1593.5906 1585.4541 14-Nov-23
4 BEF 54.1753 54.6549 54.4151 14-Nov-23
5 BIF 0.8668 0.8746 0.8707 14-Nov-23
6 CAD 1790.7532 1808.1374 1799.4453 14-Nov-23
7 CHF 2735.7135 2761.8495 2748.7815 14-Nov-23
8 CNY 339.4829 342.8401 341.1615 14-Nov-23
9 DEM 991.7057 1127.283 1059.4944 14-Nov-23
10 DKK 354.1026 357.5924 355.8475 14-Nov-23
11 ESP 13.1349 13.2507 13.1928 14-Nov-23
12 EUR 2640.825 2668.2332 2654.5291 14-Nov-23
13 FIM 367.5597 370.8167 369.1882 14-Nov-23
14 FRF 333.1674 336.1144 334.6409 14-Nov-23
15 GBP 3029.4001 3060.694 3045.047 14-Nov-23
16 HKD 316.9907 320.1565 318.5736 14-Nov-23
17 INR 29.7262 30.0036 29.8649 14-Nov-23
18 ITL 1.1287 1.1387 1.1337 14-Nov-23
19 JPY 16.3033 16.4609 16.3821 14-Nov-23
20 KES 16.3312 16.4728 16.402 14-Nov-23
21 KRW 1.869 1.8862 1.8776 14-Nov-23
22 KWD 8014.6368 8092.1628 8053.3998 14-Nov-23
23 MWK 1.3662 1.4704 1.4183 14-Nov-23
24 MYR 525.9243 530.7325 528.3284 14-Nov-23
25 MZM 38.4198 38.7438 38.5818 14-Nov-23
26 NLG 991.7057 1000.5003 996.103 14-Nov-23
27 NOK 222.366 224.517 223.4415 14-Nov-23
28 NZD 1455.3001 1470.853 1463.0765 14-Nov-23
29 PKR 8.3452 8.748 8.5466 14-Nov-23
30 RWF 1.9965 2.0451 2.0208 14-Nov-23
31 SAR 659.8768 666.44 663.1584 14-Nov-23
32 SDR 3251.8035 3284.3215 3268.0625 14-Nov-23
33 SEK 227.4294 229.6636 228.5465 14-Nov-23
34 SGD 1819.0504 1836.566 1827.8082 14-Nov-23
35 UGX 0.6314 0.6617 0.6465 14-Nov-23
36 USD 2475 2499.75 2487.375 14-Nov-23
37 GOLD 4791575.25 4840515.9 4816045.575 14-Nov-23
38 ZAR 132.0789 133.2929 132.6859 14-Nov-23
39 ZMW 105.3885 109.4941 107.4413 14-Nov-23
40 ZWD 0.4631 0.4725 0.4678 14-Nov-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news