NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2703.19 na kuuzwa kwa shilingi 2731.23.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 21, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.66 na kuuzwa kwa shilingi 16.83 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 345.11 na kuuzwa kwa shilingi 348.51.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.24 na kuuzwa kwa shilingi 16.39 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.47.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3086.08 na kuuzwa kwa shilingi 3117.94 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2475 na kuuzwa kwa shilingi 2499.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8030.76 na kuuzwa kwa shilingi 8108.44.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1804.59 na kuuzwa kwa shilingi 1822.11 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2789.56 na kuuzwa kwa shilingi 2825.21.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1620.63 na kuuzwa kwa shilingi 1637.34 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3251.80 na kuuzwa kwa shilingi 3284.32.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 236.42 na kuuzwa kwa shilingi 238.72 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.36 na kuuzwa kwa shilingi 135.59.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 673.95 na kuuzwa kwa shilingi 680.50 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.82 na kuuzwa kwa shilingi 160.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 21st, 2023 according to Central Bank;

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 673.9462 | 680.5004 | 677.2233 | 21-Nov-23 |
2 | ATS | 158.8208 | 160.228 | 159.5244 | 21-Nov-23 |
3 | AUD | 1620.63 | 1637.3363 | 1628.9831 | 21-Nov-23 |
4 | BEF | 54.1753 | 54.6549 | 54.4151 | 21-Nov-23 |
5 | BIF | 0.869 | 0.8746 | 0.8718 | 21-Nov-23 |
6 | CAD | 1804.5935 | 1822.1081 | 1813.3508 | 21-Nov-23 |
7 | CHF | 2797.5585 | 2825.2147 | 2811.3866 | 21-Nov-23 |
8 | CNY | 345.1065 | 348.5089 | 346.8077 | 21-Nov-23 |
9 | DEM | 991.7057 | 1127.283 | 1059.4944 | 21-Nov-23 |
10 | DKK | 362.6586 | 366.2316 | 364.4451 | 21-Nov-23 |
11 | ESP | 13.1349 | 13.2507 | 13.1928 | 21-Nov-23 |
12 | EUR | 2703.195 | 2731.2268 | 2717.2109 | 21-Nov-23 |
13 | FIM | 367.5597 | 370.8167 | 369.1882 | 21-Nov-23 |
14 | FRF | 333.1674 | 336.1144 | 334.6409 | 21-Nov-23 |
15 | GBP | 3086.0775 | 3117.9381 | 3102.0078 | 21-Nov-23 |
16 | HKD | 317.5316 | 320.7028 | 319.1172 | 21-Nov-23 |
17 | INR | 29.6967 | 29.9875 | 29.8421 | 21-Nov-23 |
18 | ITL | 1.1287 | 1.1387 | 1.1337 | 21-Nov-23 |
19 | JPY | 16.6655 | 16.8265 | 16.746 | 21-Nov-23 |
20 | KES | 16.2455 | 16.3864 | 16.316 | 21-Nov-23 |
21 | KRW | 1.9159 | 1.9333 | 1.9246 | 21-Nov-23 |
22 | KWD | 8030.7603 | 8108.4369 | 8069.5986 | 21-Nov-23 |
23 | MWK | 1.3662 | 1.4704 | 1.4183 | 21-Nov-23 |
24 | MYR | 530.5466 | 535.2784 | 532.9125 | 21-Nov-23 |
25 | MZM | 38.4078 | 38.7318 | 38.5698 | 21-Nov-23 |
26 | NLG | 991.7057 | 1000.5003 | 996.103 | 21-Nov-23 |
27 | NOK | 230.7413 | 232.9835 | 231.8624 | 21-Nov-23 |
28 | NZD | 1490.1975 | 1505.3495 | 1497.7735 | 21-Nov-23 |
29 | PKR | 8.2368 | 8.7462 | 8.4915 | 21-Nov-23 |
30 | RWF | 1.9894 | 2.052 | 2.0207 | 21-Nov-23 |
31 | SAR | 659.9296 | 666.4934 | 663.2115 | 21-Nov-23 |
32 | SDR | 3251.8035 | 3284.3215 | 3268.0625 | 21-Nov-23 |
33 | SEK | 236.4258 | 238.7217 | 237.5737 | 21-Nov-23 |
34 | SGD | 1847.7043 | 1865.0675 | 1856.3859 | 21-Nov-23 |
35 | UGX | 0.6296 | 0.6603 | 0.6449 | 21-Nov-23 |
36 | USD | 2475 | 2499.75 | 2487.375 | 21-Nov-23 |
37 | GOLD | 4871047.5 | 4921757.775 | 4896402.6375 | 21-Nov-23 |
38 | ZAR | 134.3648 | 135.598 | 134.9814 | 21-Nov-23 |
39 | ZMW | 103.4182 | 105.1729 | 104.2956 | 21-Nov-23 |
40 | ZWD | 0.4631 | 0.4725 | 0.4678 | 21-Nov-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Exchange Rates
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania