NA GODFREY NNKO
LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1634.39 na kuuzwa kwa shilingi 1650.99 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3274.42 na kuuzwa kwa shilingi 3307.17.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 24, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 237.52 na kuuzwa kwa shilingi 239.82 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.75 na kuuzwa kwa shilingi 133.97.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 678.69 na kuuzwa kwa shilingi 685.29 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.92 na kuuzwa kwa shilingi 161.34.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2716.27 na kuuzwa kwa shilingi 2744.44.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.84 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 3468.85 na kuuzwa kwa shilingi 352.25.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.31 na kuuzwa kwa shilingi 16.46 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3123.99 na kuuzwa kwa shilingi 3156.24 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2492.22 na kuuzwa kwa shilingi 2517.14 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8083.74 na kuuzwa kwa shilingi 8161.93.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1818.61 na kuuzwa kwa shilingi 1836.52 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2820.21 na kuuzwa kwa shilingi 2847.12.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 24th, 2023 according to Central Bank;

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 678.6901 | 685.2903 | 681.9902 | 24-Nov-23 |
2 | ATS | 159.9257 | 161.3427 | 160.6342 | 24-Nov-23 |
3 | AUD | 1634.3965 | 1650.9921 | 1642.6943 | 24-Nov-23 |
4 | BEF | 54.5523 | 55.0351 | 54.7937 | 24-Nov-23 |
5 | BIF | 0.8725 | 0.8801 | 0.8763 | 24-Nov-23 |
6 | CAD | 1818.6061 | 1836.5241 | 1827.5651 | 24-Nov-23 |
7 | CHF | 2820.208 | 2847.1214 | 2833.6647 | 24-Nov-23 |
8 | CNY | 348.8498 | 352.2544 | 350.5521 | 24-Nov-23 |
9 | DEM | 998.6047 | 1135.1251 | 1066.8649 | 24-Nov-23 |
10 | DKK | 364.4126 | 368.003 | 366.2078 | 24-Nov-23 |
11 | ESP | 13.2262 | 13.3429 | 13.2846 | 24-Nov-23 |
12 | EUR | 2716.2682 | 2744.4378 | 2730.353 | 24-Nov-23 |
13 | FIM | 370.1167 | 373.3965 | 371.7566 | 24-Nov-23 |
14 | FRF | 335.485 | 338.4526 | 336.9688 | 24-Nov-23 |
15 | GBP | 3123.995 | 3156.2418 | 3140.1184 | 24-Nov-23 |
16 | HKD | 319.597 | 322.7682 | 321.1826 | 24-Nov-23 |
17 | INR | 29.9257 | 30.2051 | 30.0654 | 24-Nov-23 |
18 | ITL | 1.1365 | 1.1466 | 1.1416 | 24-Nov-23 |
19 | JPY | 16.6759 | 16.8371 | 16.7565 | 24-Nov-23 |
20 | KES | 16.3157 | 16.4573 | 16.3865 | 24-Nov-23 |
21 | KRW | 1.9158 | 1.9326 | 1.9242 | 24-Nov-23 |
22 | KWD | 8083.7425 | 8161.9325 | 8122.8375 | 24-Nov-23 |
23 | MWK | 1.3757 | 1.4807 | 1.4282 | 24-Nov-23 |
24 | MYR | 533.0947 | 537.5059 | 535.3003 | 24-Nov-23 |
25 | MZM | 38.687 | 39.0134 | 38.8502 | 24-Nov-23 |
26 | NLG | 998.6047 | 1007.4605 | 1003.0326 | 24-Nov-23 |
27 | NOK | 231.8839 | 234.1373 | 233.0106 | 24-Nov-23 |
28 | NZD | 1506.0473 | 1522.3663 | 1514.2068 | 24-Nov-23 |
29 | PKR | 8.4558 | 8.8632 | 8.6595 | 24-Nov-23 |
30 | RWF | 2.0002 | 2.0514 | 2.0258 | 24-Nov-23 |
31 | SAR | 664.5028 | 671.112 | 667.8074 | 24-Nov-23 |
32 | SDR | 3274.4253 | 3307.1695 | 3290.7974 | 24-Nov-23 |
33 | SEK | 237.517 | 239.8236 | 238.6703 | 24-Nov-23 |
34 | SGD | 1858.6157 | 1876.5021 | 1867.5589 | 24-Nov-23 |
35 | UGX | 0.6316 | 0.6615 | 0.6466 | 24-Nov-23 |
36 | USD | 2492.2178 | 2517.14 | 2504.6789 | 24-Nov-23 |
37 | GOLD | 4966466.753 | 5016911.734 | 4991689.2435 | 24-Nov-23 |
38 | ZAR | 132.7541 | 133.9745 | 133.3643 | 24-Nov-23 |
39 | ZMW | 103.1776 | 107.2036 | 105.1906 | 24-Nov-23 |
40 | ZWD | 0.4664 | 0.4758 | 0.4711 | 24-Nov-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Exchange Rates
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania