Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 30,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3170.56 na kuuzwa kwa shilingi 3203.28 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 30, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2496.70 na kuuzwa kwa shilingi 2521.7 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8094.61 na kuuzwa kwa shilingi 8172.91.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1838.78 na kuuzwa kwa shilingi 1857.04 huku Fraya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2850.44 na kuuzwa kwa shilingi 2877.63.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1653.82 na kuuzwa kwa shilingi 1670.61 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3280.32 na kuuzwa kwa shilingi 3313.12.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 241.29 na kuuzwa kwa shilingi 243.64 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.99 na kuuzwa kwa shilingi 136.23.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 679.91 na kuuzwa kwa shilingi 686.65 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.21 na kuuzwa kwa shilingi 161.63.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2742.13 na kuuzwa kwa shilingi 2770.31.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.93 na kuuzwa kwa shilingi 16.09 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 350.32 na kuuzwa kwa shilingi 353.77.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.31 na kuuzwa kwa shilingi 16.45 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 30th, 2023 according to Central Bank;

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 679.9115 686.6545 683.283 30-Nov-23
2 ATS 160.2135 161.6331 160.9233 30-Nov-23
3 AUD 1653.8161 1670.6064 1662.2112 30-Nov-23
4 BEF 54.6504 55.1342 54.8923 30-Nov-23
5 BIF 0.8739 0.8819 0.8779 30-Nov-23
6 CAD 1838.7856 1857.0366 1847.9111 30-Nov-23
7 CHF 2850.443 2877.6332 2864.0381 30-Nov-23
8 CNY 350.3161 353.7697 352.0429 30-Nov-23
9 DEM 1000.4019 1137.168 1068.7849 30-Nov-23
10 DKK 367.8005 371.4237 369.6121 30-Nov-23
11 ESP 13.25 13.3669 13.3085 30-Nov-23
12 EUR 2742.1289 2770.3067 2756.2178 30-Nov-23
13 FIM 370.7828 374.0684 372.4256 30-Nov-23
14 FRF 336.0888 339.0618 337.5753 30-Nov-23
15 GBP 3170.5632 3203.2774 3186.9203 30-Nov-23
16 HKD 319.9917 323.1791 321.5854 30-Nov-23
17 INR 29.9775 30.2573 30.1174 30-Nov-23
18 ITL 1.1386 1.1487 1.1436 30-Nov-23
19 JPY 16.9302 17.0984 17.0143 30-Nov-23
20 KES 16.313 16.4546 16.3838 30-Nov-23
21 KRW 1.935 1.9536 1.9443 30-Nov-23
22 KWD 8094.6147 8172.9111 8133.7629 30-Nov-23
23 MWK 1.3781 1.4833 1.4307 30-Nov-23
24 MYR 536.9831 541.7121 539.3476 30-Nov-23
25 MZM 38.7567 39.0835 38.9201 30-Nov-23
26 NLG 1000.4019 1009.2736 1004.8377 30-Nov-23
27 NOK 234.4653 236.7565 235.6109 30-Nov-23
28 NZD 1537.2201 1553.6009 1545.4105 30-Nov-23
29 PKR 8.3151 8.8247 8.5699 30-Nov-23
30 RWF 1.9972 2.0504 2.0238 30-Nov-23
31 SAR 665.5744 672.1944 668.8844 30-Nov-23
32 SDR 3280.3182 3313.1214 3296.7198 30-Nov-23
33 SEK 241.288 243.6443 242.4661 30-Nov-23
34 SGD 1875.2464 1893.2878 1884.2671 30-Nov-23
35 UGX 0.6286 0.6601 0.6444 30-Nov-23
36 USD 2496.703 2521.67 2509.1865 30-Nov-23
37 GOLD 5098017.795 5151267.476 5124642.6355 30-Nov-23
38 ZAR 134.9898 136.2292 135.6095 30-Nov-23
39 ZMW 102.1857 106.1756 104.1807 30-Nov-23
40 ZWD 0.4672 0.4766 0.4719 30-Nov-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news