NA GODFREY NNKO
LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3031.23 na kuuzwa kwa shilingi 3062.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 6, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2639.29 na kuuzwa kwa shilingi 2666.19.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.49 na kuuzwa kwa shilingi 16.66 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.61 na kuuzwa kwa shilingi 340.90.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.34 na kuuzwa kwa shilingi 16.49 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.20.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.63 na kuuzwa kwa shilingi 2494.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8001.40 na kuuzwa kwa shilingi 8078.80.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1800.55 na kuuzwa kwa shilingi 1818.02 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2738.86 na kuuzwa kwa shilingi 2765.03.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1599.33 na kuuzwa kwa shilingi 1616.32 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3244.75 na kuuzwa kwa shilingi 3277.20.
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.46 na kuuzwa kwa shilingi 226.50 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.96 na kuuzwa kwa shilingi 136.22.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.41 na kuuzwa kwa shilingi 679.08 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.48 na kuuzwa kwa shilingi 159.88.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 6th, 2023 according to Central Bank;

S/NO | Currency | Buying | Selling | Mean | Transaction Date |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 672.4117 | 679.0803 | 675.746 | 06-Nov-23 |
2 | ATS | 158.4765 | 159.8807 | 159.1786 | 06-Nov-23 |
3 | AUD | 1599.3348 | 1616.3258 | 1607.8303 | 06-Nov-23 |
4 | BEF | 54.0578 | 54.5364 | 54.2971 | 06-Nov-23 |
5 | BIF | 0.8661 | 0.8736 | 0.8699 | 06-Nov-23 |
6 | CAD | 1800.5494 | 1818.0248 | 1809.2871 | 06-Nov-23 |
7 | CHF | 2738.864 | 2765.026 | 2751.945 | 06-Nov-23 |
8 | CNY | 337.6077 | 340.9045 | 339.2561 | 06-Nov-23 |
9 | DEM | 989.5555 | 1124.8388 | 1057.1971 | 06-Nov-23 |
10 | DKK | 353.7194 | 357.2054 | 355.4624 | 06-Nov-23 |
11 | ESP | 13.1064 | 13.222 | 13.1642 | 06-Nov-23 |
12 | EUR | 2639.2975 | 2666.1893 | 2652.7434 | 06-Nov-23 |
13 | FIM | 366.7628 | 370.0128 | 368.3878 | 06-Nov-23 |
14 | FRF | 332.445 | 335.3856 | 333.9153 | 06-Nov-23 |
15 | GBP | 3031.2284 | 3062.5384 | 3046.8834 | 06-Nov-23 |
16 | HKD | 315.5637 | 318.7031 | 317.1334 | 06-Nov-23 |
17 | INR | 29.6534 | 29.9446 | 29.799 | 06-Nov-23 |
18 | ITL | 1.1262 | 1.1362 | 1.1312 | 06-Nov-23 |
19 | JPY | 16.495 | 16.6566 | 16.5758 | 06-Nov-23 |
20 | KES | 16.3444 | 16.486 | 16.4152 | 06-Nov-23 |
21 | KRW | 1.8756 | 1.8918 | 1.8837 | 06-Nov-23 |
22 | KWD | 8001.405 | 8078.8016 | 8040.1033 | 06-Nov-23 |
23 | MWK | 2.027 | 2.2056 | 2.1163 | 06-Nov-23 |
24 | MYR | 522.5632 | 527.0082 | 524.7857 | 06-Nov-23 |
25 | MZM | 38.3364 | 38.6598 | 38.4981 | 06-Nov-23 |
26 | NLG | 989.5555 | 998.331 | 993.9433 | 06-Nov-23 |
27 | NOK | 222.0155 | 224.1751 | 223.0953 | 06-Nov-23 |
28 | NZD | 1469.4321 | 1485.1241 | 1477.2781 | 06-Nov-23 |
29 | PKR | 8.4182 | 8.8232 | 8.6207 | 06-Nov-23 |
30 | RWF | 1.9974 | 2.0486 | 2.023 | 06-Nov-23 |
31 | SAR | 658.3934 | 664.871 | 661.6322 | 06-Nov-23 |
32 | SDR | 3244.7528 | 3277.2004 | 3260.9766 | 06-Nov-23 |
33 | SEK | 224.4611 | 226.504 | 225.4826 | 06-Nov-23 |
34 | SGD | 1818.9833 | 1836.4969 | 1827.7401 | 06-Nov-23 |
35 | UGX | 0.628 | 0.659 | 0.6435 | 06-Nov-23 |
36 | USD | 2469.6336 | 2494.33 | 2481.9818 | 06-Nov-23 |
37 | GOLD | 4922308.5994 | 4973258.2606 | 4947783.43 | 06-Nov-23 |
38 | ZAR | 134.9578 | 136.218 | 135.5879 | 06-Nov-23 |
39 | ZMW | 107.9074 | 112.1047 | 110.0061 | 06-Nov-23 |
40 | ZWD | 0.4621 | 0.4715 | 0.4668 | 06-Nov-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Exchange Rates
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania