Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 7,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.41 na kuuzwa kwa shilingi 679.08 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.48 na kuuzwa kwa shilingi 159.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3061.60 na kuuzwa kwa shilingi 3093.22 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 7, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2652.14 na kuuzwa kwa shilingi 2679.16.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.49 na kuuzwa kwa shilingi 16.65 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.72 na kuuzwa kwa shilingi 343.03.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.34 na kuuzwa kwa shilingi 16.65 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.63 na kuuzwa kwa shilingi 2494.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8000.89 na kuuzwa kwa shilingi 8078.28.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1809.25 na kuuzwa kwa shilingi 1826.68 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2750.45 na kuuzwa kwa shilingi 2776.72.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1605.01 na kuuzwa kwa shilingi 1621.56 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3244.75 na kuuzwa kwa shilingi 3277.20.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.64 na kuuzwa kwa shilingi 229.87 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.24 na kuuzwa kwa shilingi 136.53..

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 7th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 672.4117 679.0803 675.746 07-Nov-23
2 ATS 158.4765 159.8807 159.1786 07-Nov-23
3 AUD 1605.0149 1621.5639 1613.2894 07-Nov-23
4 BEF 54.0578 54.5364 54.2971 07-Nov-23
5 BIF 0.8694 0.8759 0.8726 07-Nov-23
6 CAD 1809.2555 1826.6789 1817.9672 07-Nov-23
7 CHF 2750.4551 2776.7227 2763.5889 07-Nov-23
8 CNY 339.7254 343.0282 341.3768 07-Nov-23
9 DEM 989.5555 1124.8388 1057.1971 07-Nov-23
10 DKK 355.6397 359.1651 357.4024 07-Nov-23
11 ESP 13.1064 13.222 13.1642 07-Nov-23
12 EUR 2652.1396 2679.1598 2665.6497 07-Nov-23
13 FIM 366.7628 370.0128 368.3878 07-Nov-23
14 FRF 332.445 335.3856 333.9153 07-Nov-23
15 GBP 3061.6048 3093.2186 3077.4117 07-Nov-23
16 HKD 315.717 318.862 317.2895 07-Nov-23
17 INR 29.6835 29.9605 29.822 07-Nov-23
18 ITL 1.1262 1.1362 1.1312 07-Nov-23
19 JPY 16.4895 16.6511 16.5703 07-Nov-23
20 KES 16.3444 16.486 16.4152 07-Nov-23
21 KRW 1.9032 1.9216 1.9124 07-Nov-23
22 KWD 8000.8866 8078.2784 8039.5825 07-Nov-23
23 MWK 2.0308 2.2098 2.1203 07-Nov-23
24 MYR 533.0528 537.5712 535.312 07-Nov-23
25 MZM 38.3364 38.6598 38.4981 07-Nov-23
26 NLG 989.5555 998.331 993.9433 07-Nov-23
27 NOK 224.2512 226.4424 225.3468 07-Nov-23
28 NZD 1474.8653 1489.8633 1482.3643 07-Nov-23
29 PKR 8.2321 8.7291 8.4806 07-Nov-23
30 RWF 2.0037 2.0555 2.0296 07-Nov-23
31 SAR 658.3232 664.871 661.5971 07-Nov-23
32 SDR 3244.7528 3277.2004 3260.9766 07-Nov-23
33 SEK 227.6454 229.8731 228.7592 07-Nov-23
34 SGD 1829.4938 1847.1046 1838.2992 07-Nov-23
35 UGX 0.6314 0.6625 0.6469 07-Nov-23
36 USD 2469.6336 2494.33 2481.9818 07-Nov-23
37 GOLD 4897777.4812 4948750.72 4923264.1006 07-Nov-23
38 ZAR 135.2386 136.5312 135.8849 07-Nov-23
39 ZMW 108.1754 112.3825 110.279 07-Nov-23
40 ZWD 0.4621 0.4715 0.4668 07-Nov-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news